Idris Elba huyu jamaa bana

Idris Elba huyu jamaa bana

Simon Adebisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
1,224
Reaction score
2,337
Jamaa anajua sana kuigiza na ana muonekano fulani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani.

Nahisigi alikuwa na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??

Niko nacheki 'Luther the fallen sun' halafu naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yaani sio sawa kabisa na ukubwa wa jina lake.

Jamaa alikuwa na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sijui nini kwake
 
Jamaa anakua sana kuigiza na ana muonekano flani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani....

Nahisigi alikua na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??

Niko nacheki Luther tje fallen sun af naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yani sio sawa kabisa ma ukubwa wa jina lake....

Jamaa alikua na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sjui nn yani kwake
Yah hata mm namwelewa sana ila moviez nyingi zinakuwa za kiboya boya tu hazieleweki
 
Jamaa anajua sana kuigiza na ana muonekano fulani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani.

Nahisigi alikuwa na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??

Niko nacheki 'Luther the fallen sun' halafu naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yaani sio sawa kabisa na ukubwa wa jina lake.

Jamaa alikuwa na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sijui nini kwake
Weka picha wengine hawamjui idriss elba
 
Mbona anafanya poa
Dark Tower
Bastille Day
Beasts of no Nation
Ametembea fresh mbona
Anafanya poa ila sio sawa na ukubwa wa jina na talent yake kwa maoni yangu kuna sehemu anakwama...
 
Jamaa anajua sana kuigiza na ana muonekano fulani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani.

Nahisigi alikuwa na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??

Niko nacheki 'Luther the fallen sun' halafu naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yaani sio sawa kabisa na ukubwa wa jina lake.

Jamaa alikuwa na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sijui nini kwake
LUTHER ni muendelezo kutoka kwenye series ya LUTHER huwezi kuelewa mpk uanze na series kwanza
 
Sijaanza kumfatilia idris elba juzi mzee... hiyo luther series ya juzi tu hapo... namcheki idris elba toka yuko yanki tisini huko
 
Halafu huyu mwamba ndie alitakiwa awe Black Pather ila wapuuzi wa ile kampuni wakampa role ya yule gate keeper wa akina Thor sasa hawezi kuwa na movie characters mbili kwa wakati m'moja unless madirector wafanye jambo kwenye story ya Black Pather na Thor.
 
Back
Top Bottom