Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Hivi jamani kumiliki laini zisizo na majina yetu mbona tupo wengi sana na hii sana sana imechangiwa na NIDA kwa kuchelewesha kutoa namba zetu kwa wakati na huku TCRA inazima laini zisizo sajiliwa kwa alama za vidole na namba za nida
Ndiyo ujiandae kwa msala mzee
Umeona kifungu cha sheria walikitumia

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Anashitakiwa Kumbe Kwa Kutumia Laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine sio kuicheka picha ya Rais? Aisee hii nchi yaani mimi leo nikimchuka ndugu au rafiki akanipa laini ya simu nikaanza kuitumia ni makosa? mtakamata wangapi? maana nina uhakika zaidi ya watu milion wanafanya hivi. kumbe kuicheka picha ya Rais haikuwa insu shida ni laini. aisee!
 
Waafrika Mnapenda Sana Mambo ya Kifalme na Uchief.. Mnapenda Kuabudiwa Kwani Kucheka Picha kunq Shida Gani...

Hiyo Picha Angempa Mke wake au watoto wasingeicheka?
Basi bora tungekuwa Wachina.
Alichokifanya hakina maana yoyote kwa jamii, la asingepata hizo taabu.
 
Kwa hili hata mimi sijapendezwa na ile clip ni utovu wa nidhamu yule ni baba wa vijana kama yeye achana na title yake ya urais. Tunamheshimu kama mazazi na sio kumfanya kituko hata kama ana madhaifu yake.
 
Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile

Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Mkuu wa nchi hata kutamka sentensi mbili za kiingereza hawezi....na ana PHD hapo!!???
 
Kweli ile suti ova size,nakazia ile suti ni single piece in tanzania fundi alieshona alikua kipofu
 
Mmoja atuwekee picha za waheshimiwa mahakimu tuwaone walivyo sijui wanatisha
 
Mkuu wa nchi hata kutamka sentensi mbili za kiingereza hawezi....na ana PHD hapo!!???
Unajishebedua kwa kuwa umesomeshwa english medium na makato ya mishahara ya wabunge wa upinzani na ruzuku za chama,mwambie mshua sasa chama mnasusiwa watu wamechoka na ruzuku zao.
 
Sasa unachekea huku Jf, kama unajua kucheka kachekee insta.
Ila ujue hatuna 15m kukudhamini
Account yangu ya IG ina followers 20K sio popular! Nimeshaweka clip nimekipodoa kipara cha Magufuli kama yale makatuni ya Scooby dooby!
.
Kwa kuwa sina wafuasi, sifatiliwi hata kwa kiwango cha Harmorapa who cares?
Ukiangalia followers kwa umakini unakutana na almost 7K people ni mahindi na maarabu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hyo milioni 500 alishindwa hata kutengeneza mgahawa?kweli tunatofautiana akili
Usisikilize mazombi wewe idrisa alivyopata ile hela 300m aliiweka fixed acc akabaki anapiga 200m
 
Adhabu kutokana na kifungu gani Cha Sheria ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…