Dick mrisho
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 303
- 568
Mwana kulifind mwana kuliget
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete picha ya baba yako tuicheke kwanzaWhy making a big deal out of something so small.?
Ndiyo ujiandae kwa msala mzeeHivi jamani kumiliki laini zisizo na majina yetu mbona tupo wengi sana na hii sana sana imechangiwa na NIDA kwa kuchelewesha kutoa namba zetu kwa wakati na huku TCRA inazima laini zisizo sajiliwa kwa alama za vidole na namba za nida
Wewe anamiliki sm card isiyo yake siyo kucheka picha ya rais si unaona hapo kesi take inavyosema nyie bwana😁😁😁😁Alicheka picha ya mfalme
Basi bora tungekuwa Wachina.Waafrika Mnapenda Sana Mambo ya Kifalme na Uchief.. Mnapenda Kuabudiwa Kwani Kucheka Picha kunq Shida Gani...
Hiyo Picha Angempa Mke wake au watoto wasingeicheka?
Mkuu wa nchi hata kutamka sentensi mbili za kiingereza hawezi....na ana PHD hapo!!???Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Wewe hapo Lumumba ni shambani??!! g.vi la b.ba yako!!!Afungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Kweli ile suti ova size,nakazia ile suti ni single piece in tanzania fundi alieshona alikua kipofuSultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je, kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajishebedua kwa kuwa umesomeshwa english medium na makato ya mishahara ya wabunge wa upinzani na ruzuku za chama,mwambie mshua sasa chama mnasusiwa watu wamechoka na ruzuku zao.Mkuu wa nchi hata kutamka sentensi mbili za kiingereza hawezi....na ana PHD hapo!!???
Account yangu ya IG ina followers 20K sio popular! Nimeshaweka clip nimekipodoa kipara cha Magufuli kama yale makatuni ya Scooby dooby!Sasa unachekea huku Jf, kama unajua kucheka kachekee insta.
Ila ujue hatuna 15m kukudhamini
Usisikilize mazombi wewe idrisa alivyopata ile hela 300m aliiweka fixed acc akabaki anapiga 200m[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hyo milioni 500 alishindwa hata kutengeneza mgahawa?kweli tunatofautiana akili
Adhabu kutokana na kifungu gani Cha Sheria ?Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je, kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihiSema hela ikiwa kwa mwenzio mipango mingi zipate ufungue huo mgahawa kama hujanywa chai mwenyewe unafikir biashara kiivo wengi wamefungua biashara lakin zina kufa tu