Uwezi kumfananisha na wewe kula kulala mtoto wa mama,anaweza akawaoa na kuwafuga familia yako yote.bondo lenyewe hadi utumwe vitumbua ndiyo ufiche chenchi upate kifulushi.Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Dah!Yeye mbona anaonea Shangazi wa wenzake?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Umeniwahi, nilitaka kumuuliza kama ana chuki binafsi juu yake?Hii comment yako inazungumza mengi yaliyomo moyoni mwako dhidi ya idris mwana wa sultan
Aliicheka picha ya mtukufu akinyukwa na pamba za marehemu fulani.Alimcheka mtukufu ambaye alinyuka pamba za kufa mtu baada ya kuvunja kabati .
Inategemea kama jamii husika inaheshimu utawala wa sheria. Tz hakuna sheria inayoheshimiwa hasa mwanasiasa anapohusika.Hivi polisi wakivunja sheria wakati wako kwenye utaratibu wa kumshtaki mtu, hiyo kesi si inakuwa batili?
Au filamu za Hollywood zinatudanganya?
Pale ni mtumba tangu juu mpaka chini, yeye alienda kutungua tu!Fundi wa lile koti hakuwa mbahili wa kitambaa wala hakumuibia mteja wake. Alitumia kitambaa chote kihalali.
Hii ni Africa tuna njia zetu za kimaadili za kuishi!! Ni sawa Idris angekua North Korea kwa kiduku alafu akamcheka kiduku kwa yale mabwanga anayovaa alafu wakorea wakaona raisi wako kadhalilishwa!! Nadhani unaweza pata picha nini kingemtokea huyu bwana mdogo Idris huko North korea.Kuna raisi kaoneshwa dole la kati,na maisha yanaendelea sembuse yeye kuchekwa tu ni ushamba na uboya aliokuwa nao jiwe.
Acha story za vijiweni kijana mkwanja gani anao idrisi? hata Mangi mwenye duka la hardware anampiga gepu huyo idris!! Sometimes maisha tunayoishi hayana uhalisia!! Unaweza kuwa na nyumba na bado ukashinda njaa ila nyumba itakustahi tu na watu kuona kama unahela kumbe hata mia hunaMkwanja anaomiliki huyu jamaa hata kwenye rambirambi ya kifo chako huwezi kuufikisha.
Huko mtandaoni kwenyewe anapiga hela wew unapoteza muda.
Daah hata mimi hajawahi kunichekesha kwa kweli sijui wanaocheka wanafananaje!! hafai hata kidogo kuitwa comedian..Anaboa kichizi huyo jmaaIla huyu mimi hata sionagi anachochekesha. Kwann asifanye kitu ambacho ana kipaji nacho. Ila kuchekesha hapana
Hii issue imetutia aibu kimataifa.View attachment 1461124
Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.
Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Endelea kufuatilia....
UPDATES
Mchekeshaji Idris amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na mwenzake Innocent Maiga na kusomewa mashtaka yao
Katika shtaka la kwaza, Idris pekee anatuhumiwa kutumia laini yenye namba 0753 617621 ambayo haijasajiliwa kwa jina lake bali kwa jina la Innocent Maiga
Katika shtaka la pili, Innocent pekee anatuhumiwa kushindwa kuripoti ubadili wa umiliki wa laini hiyo baada ya Idris kuanza kuitumia
UPDATE
Idris amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutumiza masharti yakuwa na wadhamini wawili na bond ya TZS 15,000,000/-
Kesi itatajwa tena Juni 09, 2020
ππππππππPale ni mtumba tangu juu mpaka chini, yeye alienda kutungua tu!
Ningekuwa huko Tanzania Ningejaribu Kumtafuta Huyo Kijana idrisa sultan na kumpa ushauri wa kuachana na WAKILI aliemchagua kumwakilisha kwenye kesi yake, tumekuwa tukiona watu wanaowakilishwa mahakamani na mawakili kama kitabatala, malya, kambole, ishabakaki wanaonekana kama ni watu ambao ni thereat sana kwa serikali na wengi wao wamekuwa convicted. Ningemshauri atafute mawakili ambao hawana disputes na regime ili wakili awe natural kumwakilisha mteja wake. Nashauri Tu.Mimi sizungumzii kama ana kosa au hana kosa.
Nimesema kuhusu video aliopost idris.
Ilikuwa anacheka na pembeni kuna picha ya raisi.
Mbona mi naona hili la kudhalilisha picha ya mh. Ni jambo lililopo tu akilini kwa watazamaji?
Yaani kucheka imekua ni kosa baada tu ya kuwepo kwa picha ya mhishimiwa!?
Kwani wewe ulijuaje kama alikuwa anaicheka picha!?
Magufuli anajikuta immortal ahahahaha!
Na ninavyojua kucheka watu ingekuwa mimi nacheka hadi naanguka chini
Twita nalo Ni shamba pia mkuu sema baadhi ya wakulima hawajui kulitumiaAfungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Nitafute IG uone.Cheka na wewe upost usiwe keyboard warrior maneno kibao vitendo sifuri.
Nitafute IG uone.
Tatizo mnabwata sana and your eyes are all on celebrities na politicians ndio maana hata sina impact.
.
And btw watanikamata wanipeleke wapi? πππ
Yuko na wenzake pale au huwaoni?ile mzee baba haijakosewa ila over size huenda iliiazimwa sehemu japo sijapenda bwana mdogo alivyoukatia mbavu ila kiukweli inachekeshaUle ulikuwa mtindo wa zama zile, tatizo mmezaliwa juzi juzi hapa.
Unazijua Suruali za Mtindo wa Kamanyola ?
Au Pekoz.
Kama mnashindwa kuelewa Ulizeni Wahenga.
Kulikuwa na Makoti yanavuka Magoti.
Wacheni Utoto Basi.