Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Ameachiwa kwa dhamana, nasikia ameshtakiwa kwa kosa la kutumia line iliosajiliwa kwa jina la mtu mwingine!"

Hajashtakiwa kwa kosa la kucheka.

Only God knows
 
Back
Top Bottom