Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 268
- 568
huna pointiYule dogo anajisahau sana....... anapaswa kufunzwa adabu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna pointiYule dogo anajisahau sana....... anapaswa kufunzwa adabu!
Wewe unajua kosa lake au umeassume unachofikiria wewe ndio kosa lake?sasa wewe unasema afuzwe adabu kwa kosa gani
Nachukia sana mtu anapoamua ku-impose his way of thinking to people who do not want it.Kwanza andika lugha moja kiswahili au English usipende mkorogo kiswanglish Soma kanuni ya adhabu kifungu Cha 8 (I) (a) kinasemaje na ndio atakacho shitakiwa nacho
Hizo ni typo tu, ni Msalani.Bwashee ’Msaani’ ndo kitu gani.?
Unaonesha una ufahamu mdogo sana wa kujenga hoja na unaonekana uko nyuma sana kimawazo ikiwa nimekushauri utumie lugha moja kwenye maandishi yako kuliko kuandika mkorogo/ kiswanglish unaniambia napanua matako,hii ni ajabu sana kwa wewe ulie jinadi unatetea uhuru wa kutoa mawazo/maoni.huoni kuwa unafeli hujui Nini unataka ikiwa umenishambulia kwa kutoa maoni yangu?Nachukia sana mtu anapoamua ku-impose his way of thinking to people who do not want it.
Hiyo ni theocracy....udikteta wa mawazo!
Wewe kukurupuka kutaka wanadamu wenzio waongee Kiswahili au Kingereza separately unavyotaka wewe binafsi hivi umepata wapi nguvu za kutanua matako kiasi hicho?
Naongea na kutumia lugha ninazoona nazitaka,wewe hupendi ruka post yangu kama huioni vile!
Hii tabia ya kutanulia wanadamu wenzio basket mouth lako kuwalazimisha utakacho wewe hadi namna ya kuongea ni kukoswa kazi za kufanya!
Vifungu vya kipumbavu ulivyotoa,picha in question ni picha ipo public miaka zaidi ya 20,leo kaitoa kwenye page yake ya Instagram with artistic sarcasm tayari mmeshaanza mustabation!
Vifungu mtapindisha mnavyotaka mtafungua kesi mnavyotaka,hakimu ndio atatoa hukumu,wewe na mawe na wanga wengine wa CCM wasipenda free society mfunge madomo yenu mahakama ifanye tafsiri!
Kama vifungu vya kipumbavu utakuwa sio mzima kichwani Nina uhakika asilimia mia moja ikiwa ni mzima kweli kichwani toka nyuma ya keyboard ufanye na wewe upuuzi Kama huo tuone ujasiri wako "angalizo usitumie mkorogo/kiswanglish kunijibu"Nachukia sana mtu anapoamua ku-impose his way of thinking to people who do not want it.
Hiyo ni theocracy....udikteta wa mawazo!
Wewe kukurupuka kutaka wanadamu wenzio waongee Kiswahili au Kingereza separately unavyotaka wewe binafsi hivi umepata wapi nguvu za kutanua matako kiasi hicho?
Naongea na kutumia lugha ninazoona nazitaka,wewe hupendi ruka post yangu kama huioni vile!
Hii tabia ya kutanulia wanadamu wenzio basket mouth lako kuwalazimisha utakacho wewe hadi namna ya kuongea ni kukoswa kazi za kufanya!
Vifungu vya kipumbavu ulivyotoa,picha in question ni picha ipo public miaka zaidi ya 20,leo kaitoa kwenye page yake ya Instagram with artistic sarcasm tayari mmeshaanza mustabation!
Vifungu mtapindisha mnavyotaka mtafungua kesi mnavyotaka,hakimu ndio atatoa hukumu,wewe na mawe na wanga wengine wa CCM wasipenda free society mfunge madomo yenu mahakama ifanye tafsiri!
Ingekuwa ni vema angeweka picha ya mzazi wake kwa kipindi hicho na halafu achekeView attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.
Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?
Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?
Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?
Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
Dah kumbe ndo ivi😯 kwa hili hapana hata kama mie sikubali huu ni udhadhalishaji hapo hakuna kichekesho! Yu keni sii iveni bodi langweji! Hii haikubaliki. hata kama hatumpendi magu lakini kumbuka huyu ni kama baba yake mzazi kiumri!Nchi ngumu hii🙉
View attachment 1455260
Kama ni binadamu ambaye mifumo yake inafanya kazi vizuri akiiona hiyo picha lazima acheke.View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.
Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?
Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?
Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?
Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
The uhakika Zimbabwe wana vitu kama hivyo au umetaja tu kwa kuwa Mugabe mmemfanya wa mzaha? We Zimbabwe wanajua kuvaa!View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.
Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?
Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?
Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?
Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
Matusi ya nini? Wanaomfunza adabu wapo kwenye kitengo Chao Wala hawahusiki na Mambo mengine unayosema kuwa ya msingi. Na hayo yanaendelea kufanyika wakati huyu akifunzwa adabu.Acha akili za kijinga Serikali ina mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko kuhangaika na mchekeshaji.
Kuna sehemu hata umeme na maji hakuna, kuhangaika na mchekeshaji ni kupoteza muda
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.
Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?
Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?
Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?
Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
Hujielewi wala, upo upo tuHiyo hiyo uliyoisema wewe!
Washenzi ka wewe hua ni kublock tu, so stupid and fuckin poorYule dogo anajisahau sana....... anapaswa kufunzwa adabu!