Alitafuna 500m za kijana , dogo akaenda kuanza utangazaji, sasa huyo anapaa upya kupata bilioni mojaDo ile nyota ya Wema inawakawakia wanaume Alisha achana nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitafuna 500m za kijana , dogo akaenda kuanza utangazaji, sasa huyo anapaa upya kupata bilioni mojaDo ile nyota ya Wema inawakawakia wanaume Alisha achana nao
Acha hizo bhana kwan alipo shinda big brother Alikuwa na wema .Do ile nyota ya Wema inawakawakia wanaume Alisha achana nao
Aitwe awafokee wazunguRay anafokafoka sana kwenye movies zake
..
wa hapahapa na "pumbaaaaaav"yakeRay wa Afya drinking water je? Au yeye nyota yake ni ya hapahapa tu
Ray ana mikelele kwenye movies balaa...Ray anafokafoka sana kwenye movies zake
..
Akirudi zitaliwa tenaAlitafuna 500m za kijana , dogo akaenda kuanza utangazaji, sasa huyo anapaa upya kupata bilioni moja
Usihofu mkuu wataangaliwa itakapolazimuifike mahala sasa kia senga,mtanga ,matumaini,nyamayao,muhogo,mchungu nao waangaliwe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkorogo unachangia kufokafoka duuh nimecheka kama falaRay ana mikelele kwenye movies balaa...
Nashangaa wakati anaigiza kwenye mambo hayo hakuwa anafoka hivyo...sijui mkorogo umechangia
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkorogo unachangia kufokafoka duuh nimecheka kama fala
Na kwavile amepewa sehemu kubwa, I bet jamaa atafanya vizuri sana na huenda ndo akatoka jumla!!! Na kukiwa na some comeds ndani yake, hesabu wameumia!!Idris ni actor kweli na kile kithe the chake lol