Idris Sultan ataonekana katika filamu ya ‘Ballin …On the Other Side of the World

Idris Sultan ataonekana katika filamu ya ‘Ballin …On the Other Side of the World

Wema Sepetu itabidi arudishe penzi sababu jamaa atukuwa sonko tena
 
Do ile nyota ya Wema inawakawakia wanaume Alisha achana nao
Acha hizo bhana kwan alipo shinda big brother Alikuwa na wema .

Huyo wema ni nux tu ukiwa naye lazima uwe alosto .

Juhudi na kumtegemea mungu ndiyo siri ya mafanikio
 
Itakuwa huyo mbongo rais wa hiyo kampuni ndio katambua kipaji cha idris
 
Alitafuna 500m za kijana , dogo akaenda kuanza utangazaji, sasa huyo anapaa upya kupata bilioni moja
Akirudi zitaliwa tena

Chezea power of pussy....... haijawahi kumwacha mtu salama
 
Ray ana mikelele kwenye movies balaa...

Nashangaa wakati anaigiza kwenye mambo hayo hakuwa anafoka hivyo...sijui mkorogo umechangia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkorogo unachangia kufokafoka duuh nimecheka kama fala
 
alitokelezea kwa Movie ipi..mie simfahamu
 
Wema lazima afanye namna amtie tena kambani
 
Idris ni actor kweli na kile kithe the chake lol
Na kwavile amepewa sehemu kubwa, I bet jamaa atafanya vizuri sana na huenda ndo akatoka jumla!!! Na kukiwa na some comeds ndani yake, hesabu wameumia!!
 
Back
Top Bottom