Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Huyo Idris angetakiwa amle wema kwa siri, ila jamaa alichobugi ni kujitangaza anatoka na wema, like seriously?? Cjui lkn ila mchiz nimemshusha point, bora angetoka na jokate, Wema sio demu wa kuji-proud unatoka nae especially mwanaume ukiwa star Heaven Sent
 
"Mapenzi hayana mwenyewe, unaweza Penda kijana au mzee" . Acha watu wapendane aisee, na kwa nini afanye siri sasa. Usisahau ule usemi "one man's spoilt milk is another man's sweet yoghurt.
 
lakini ikumbukwe kwamba jamaa ni comedian, kwa bio yake kasema .so huenda anafanya comedy
 
Hongera sana idriss walioshindwa umewaonyesha .........😀😀😀😀😀😀😀
 
kweli duniani kuna watu wanaota mchana..
amefanya vipimo vya dna ya hiyo mimba ?
wema anavyogeuzwa na kila mwenye hela yake isiopelea..
mwanaume utajigambaje eti mimba umetia wewe ?
 
Mimba Ni ya Ali Kiba, subiriini ukweli utajulikana soon.
 
Uchambuzi wako ni fake kama una video au audio ya Diamond na Zari wakiwa wanafanya mapenzi kwa Mara yao ya kwanza iweke hapa ili kuipa nguvu comnent yako na tupige hesabu!!
 
kweli duniani kuna watu wanaota mchana..
amefanya vipimo vya dna ya hiyo mimba ?
wema anavyogeuzwa na kila mwenye hela yake isiopelea..
mwanaume utajigambaje eti mimba umetia wewe ?
Mwisho wa siku kwenye uhalisia baba halisi atajulikana
 
Mwisho wa siku kwenye uhalisia baba halisi atajulikana
sawa mkuu.
ingawa anaweza asijulikane pia..
mama anaweza asiwe tayari kwenda kwa mkemia..
halafu unakuta mtoto kazaliwa wa kike kachukua sura na rangi ya mama..
HAPO INABIDI UYAVULIE NGUO.
 
sawa mkuu.
ingawa anaweza asijulikane pia..
mama anaweza asiwe tayari kwenda kwa mkemia..
halafu unakuta mtoto kazaliwa wa kike kachukua sura na rangi ya mama..
HAPO INABIDI UYAVULIE NGUO.
Maana yangu sio hiyo...ni kwamba huyo mtoto hawezi kukosa baba kwakuwa mimba ni ushirikiano wa watu wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…