Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Wema, the Mistress of a Mind Game.
Alijisononesha mbele ya hadhara kuwa kahangaika kwa madaktari na bado hashiki mimba.Hii niliitafsiri kama mtego kwa maadui ili waamini hana uwezo wa kuzaa na ili apate public sympathy ambayo kikweli aliwin.Ila sio kwa baadhi ya watu kama mimi.Sikuamini kuwa alikua na tatizo serious la kupata mimba kwa kuwa mwenyewe ailiwahi kukiri hadharani kuwa alitoa mimba ingawa sikuona haja ya yeye kuelezea mambo yake hadharani.
Tena, akasema kuwa hana mpango wa kuzaa.Hii ni kupata kiki tu.
Sifikirii kama Dai au mtu yeyote hakutaka Wema azae...its absurd.
Wema huwa anajitengenezea ulingo mwenyewe, anacheza mwenyewe na kushinda mwenyewe.
Hongera kwa mimba.Usitumie mimba yako kama fimbo, wewe mwenyewe ulijitengenezea mazingira ya kuitwa Mgumba ilihali ulijua hauna ugumba.
 
Kwaio na wema nae anafanya kama ilivyokua Diamond na mume wake zari kipindi ni mjamzito ili baadae watu waanze kusema mtoto sio wa fulani ni wa fulani...
 
Wema, the Mistress of a Mind Game.
Alijisononesha mbele ya hadhara kuwa kahangaika kwa madaktari na bado hashiki mimba.Hii niliitafsiri kama mtego kwa maadui ili waamini hana uwezo wa kuzaa na ili apate public sympathy ambayo kikweli aliwin.Ila sio kwa baadhi ya watu kama mimi.Sikuamini kuwa alikua na tatizo serious la kupata mimba kwa kuwa mwenyewe ailiwahi kukiri hadharani kuwa alitoa mimba ingawa sikuona haja ya yeye kuelezea mambo yake hadharani.
Tena, akasema kuwa hana mpango wa kuzaa.Hii ni kupata kiki tu.
Sifikirii kama Dai au mtu yeyote hakutaka Wema azae...its absurd.
Wema huwa anajitengenezea ulingo mwenyewe, anacheza mwenyewe na kushinda mwenyewe.
Hongera kwa mimba.Usitumie mimba yako kama fimbo, wewe mwenyewe ulijitengenezea mazingira ya kuitwa Mgumba ilihali ulijua hauna ugumba.
the fake projects continue
 
dah hilo tumbo na lianze kutuna ili tudai DNA yetu kwa nguvu,kwani ye si alishindwa kumdungua madam akamkimbilia bi kidude.
 
hongera zao nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Habari, kwa wale mnaopenda celebrity gossip, nimeidaka hii hapa
yule mshindi waa BBA , amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wake, baada ya wawili hawa kuhisiwa ni wapenzi kwa muda mrefu.

“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 5,800 na likes zaidi ya 14,000.

“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.

“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”

“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”

Chanzo: Idris (Instagram)

October rafiki yake na IDRIS mnamibia MUNANA alikuwa anakula mambo leo January Idris anasema kamtia mimba WEMA hahahaha mtoto akizawila yatakuwa yale yale ya Diamond, Zari na King Laurrence kugombea Mtoto
Wanawake wengine bana wanagawa nyuchi akipata mimba anambambikia aliye karibu
 
Ingekuwa ametia mimba October si November tu ingeshajulikana katia mimba. Tangu october mpaka leo ni miezi mitatu...huyo mnamibia naye hana mbegu.
 
Idriss Sultan

Nlimpigia kura sana wakati wa BBA

Ila kwa sasa hafanani na yule wa BBA

Sijui kabadilika nini ila ananifanya nimkumbuke muhuni "NANDO"

Pesa na umaarufu.

Unapata K ambazo hukuwahi kuziwazia.

Unaingia viwanja vya ndoto zako.

Unamkumbuka Hasheem Thabeet enzi zake?
 
Habari, kwa wale mnaopenda celebrity gossip, nimeidaka hii hapa
yule mshindi waa BBA , amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wake, baada ya wawili hawa kuhisiwa ni wapenzi kwa muda mrefu.

“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 5,800 na likes zaidi ya 14,000.

“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.

“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”

“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”

Chanzo: Idris (Instagram)

whaw so sweet and nice.
 
Back
Top Bottom