marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Unaelewa maana ya kumtoa nyoka pangoni?
Haswaa, bila chenga. ....
Kwani kuna tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa maana ya kumtoa nyoka pangoni?
Even ur woman was a hoe
Aoge mara ngapi kishachambwa sana et alienda kwenye birthday mikono mitupuAkikaa vibaya ajiandae kuoga matusi
wote wanapenda kick za kitoto lakini huyu suparstar wa insta amezidi na kila anachokifanya inaonekana anamjibu baba Tiffah ... Atangaze ni mjamzito harafu aje aseme imetoka sijui ataishije kule insta?Kama dangote bana dah wanaudhi eeeeee
nakuhakikishia Wema hana Ujauzito wala Uja mwepesi.. Alishafanya drama kama hizi kitambo sana na watu wakaamini lakini kilichokuja kutokea ni ajabu.. Hili linalofanyika ni ligi inayoendelea kule insta na siku ikijagundulika hana kijacho nadhani kambi ya upande watatu itatawala instAchana na maneno ya kusikia mpaka uone mwenyewe
Hahahaa, aki nifah am keeping my finger crossed iwe kweli jamaniii... Kama ni drama ntasikitikaHahahahahaa khaaa nimecheka sana
Hapana not this time rutta....yaani nimefika kikomo kwa hizi dramaNa kuhakikishia you will get dissapointed na utasamehe maana umemzoea...
Kama ni kick itakua ya mwisho bora ampe mond i papucha a.ka. mautamu tena tifauti na hapo zari itabidi aje bongo kuigiza movie yeye mpaka akimaliza kulea mwana basi atakua muuza matunda[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji122] [emoji12] [emoji122] [emoji817]Habari, kwa wale mnaopenda celebrity gossip, nimeidaka hii hapa
yule mshindi waa BBA , amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wake, baada ya wawili hawa kuhisiwa ni wapenzi kwa muda mrefu.
“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 5,800 na likes zaidi ya 14,000.
“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.
“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”
“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”
Chanzo: Idris (Instagram)
nina wasiwasi hata akili unayotumia umeazimaKumbe twajuana eeee
Wafuatao alishatoka nao kimapenzi.
1.Kanumba (marehemu ) japo nae hakumkuta bikra.
2.Chalz Baba.
3.Khalid Chokoraa.
4.T.I.D
5.Mr. Blue.
6.DIAMOND.
7...........( kigogo)
8...........(kigogo)
9............( kigogo)
10. Luis Munana.
Why DIAMOND au hao walikuwa wanampiga 071 kwahiyo hatuwezi kuwauliza kwanini hawakum'bebesha hiyo inayoitwa mimba ( kama anayo au hana hiyo ni juu yake hakuna inayomuhusu ila hongera yake kama kweli)
Idriss Sultan
Nlimpigia kura sana wakati wa BBA
Ila kwa sasa hafanani na yule wa BBA
Sijui kabadilika nini ila ananifanya nimkumbuke muhuni "NANDO"
Huyo ndio alitaka kuwa mheshimiwa mbunge, mweee.Bado mbona, Lina Sanga alipiga ukunga wa kuporwa mchumba
Kijana wa Namibia naye aka lambishwa asali kwa ncha ya kisu aka toweka.
na ujanja wako unakubali yule bibi ana miaka 28? jamaniii? watz kila siku wanataka wawe watoto tu.Miaka 28 si haba kwa msichana ni muda muafaka kwake kuwa na mtoto