Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Hivi huyo Wema mimba huwa zinaendaga wapi maana kila mwaka nasikia.ana mimba mara ya Dimond mara ya kigogo mbunge mara sijui kumzalia nani,hivi huyu mama yeye mimba kwake ni story eeeh!
Zote mwampachika nyie humu ndani
 
Huyo Wema ataishia hivyo hivyo kamwe awezi kupata mimba kutafuta kuzungumziwa tu na wenye akili fupi. Huyo Idris nae amekuwa kama msichana kutafuta attention za kike.

Wema usifikiri kutengeneza makalio ndio kutengeneza mtoto mtoto utamsikia tu kwa wenzio.
Such a hater
 
Wema juzi kati alimjibu alomtukana...kwa kumuuliza lini alisema ana mimba???
Kumbuka hajawahi tangaza
Naahidi kama Wema atakuwa na mimba................................................
 
Jibu hili hapa,miguu kama spok ya baiskeli?
fe191ea40a72b89785e629fd991d257f.jpg
Sema matende na spoku
 
Back
Top Bottom