unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Sidhani kama atakuja kwako kukulilia baby its her lifeMaisha ya wema utafikiri cinema mhhh ipo siku atagundua kwamba kuna maisha halisi age inaenda kwenye umama itakuja uzeee wakati akitaka kukatika hawezi