Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Hilo dudu kila mtu kalichapa. jamaa akapime DNA ya mtoto otherwise atalea wa wenzie
 
Idrisa kapata wapi uthibitisho kuwa hiyo ni mimba ya kwake?!
 
kweli duniani kuna watu wanaota mchana..
amefanya vipimo vya dna ya hiyo mimba ?
wema anavyogeuzwa na kila mwenye hela yake isiopelea..
mwanaume utajigambaje eti mimba umetia wewe ?
Ulishuhudia akigeuzwa.....na Yule bb wa Uganda je,mwenye sura ndefu km jani la mgomba una uhakka Yule mtt ni wa domo?
 
Mmh kama kweli wema ana mimba basi hii ni risasi kwa diamond itabidi tu na yeye aje a publish DNA kuonyesha naye kazalisha maanaaa....
Wema kugongwa na wengi sana sio diamond
 
Matamu mnooo, yani maneno kaandikiwa mwingine, ila navyosmile huku sasa utadhani nimeandikiwa mimi jamani.[emoji182] [emoji182] [emoji85] [emoji85]
Mmh taratibu sista.....
Kumbe na wewe unapenda mapenzi ya kwenye tamthilia, loh
 
Hahahaa yani panki ka dinning table,sijawahi kumpenda bora tu walivyoachana
Ulimpenda yupi mwenye sura ndefu kama pangaboy haha wema anamambo yaaani choice zake tofauti kabisa alioza kwa dimond mwenye domo kubwa zamani dimond sasa kawa handsome kamdamp kah cijui huwa anapima dudu likiwa kubwa ye poa sura kwake aina maana hata remmy wema angebeba tu
 
Hamna mimba hapo..mimba gn inakua km kajazwa upepo...mimba ya mwezi mmoja..miwili au mitatu inaonekana tatizo wema is tooo fake...subirin kuambiwa imetoka...na mlo namimba kaen chonjo msije ibiwa wanenu labour
 
Hahahaa,kwakweli yeye ni size ya dyudyu kwanza,kwakweli huyu ndio wa kishua wa kwanza kutochagua sura,yule boyfriend wa linah alikuwa mzuri walau,na yule daxx sijui model wa SA hao ndio niliwathaminisha wengine wote hapana kwakweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…