Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Hapana ila mmoja asubuhi na mwingine usikuPublic Pussy!
Sijakuelewa, una maana walimla mande hiyo mimba au?!
Atuwekee picha ya ultrasound kama alivyofanya diamond kwa zariHabari, kwa wale mnaopenda celebrity gossip, nimeidaka hii hapa
yule mshindi waa BBA , amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wake, baada ya wawili hawa kuhisiwa ni wapenzi kwa muda mrefu.
“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 5,800 na likes zaidi ya 14,000.
“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.
“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”
“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”
Chanzo: Idris (Instagram)
na uchange kweli kweliDah, ushauri wako ntauzingatia kwa kutumia kanuni ya mstaafu wa Msoga, "Akili za kuambiwa changanya na za kwako".
Halaf c walikuwa marafiki na Idrissa???Mnamibia? Uhusiano ulidumu kwa siku chache, yani hata wiki haikufika
na uchange kweli kweli
HAHAHAH KISA CHA KUTOKUWA NA IMANI NA BINTI WA KINYATURU?????????????Sidhani Kama kuna mimba labda Kama ni movie mpya.
Atuonyeshe kama alivyofanya diamond kwa zari.Habari, kwa wale mnaopenda celebrity gossip, nimeidaka hii hapa
yule mshindi waa BBA , amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wake, baada ya wawili hawa kuhisiwa ni wapenzi kwa muda mrefu.
“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 5,800 na likes zaidi ya 14,000.
“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.
“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”
“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”
Chanzo: Idris (Instagram)
Marafiki sanaa na kwenye besdei walikuwepo wote wawiliHalaf c walikuwa marafiki na Idrissa???
karibu tenaHa ha ha, asante kwa ushauri lakini.
Alafu kama idrisa ndio kamdunya iyo mimba baba mtoto ana miaka 21 [emoji1] [emoji1] [emoji1] najaribu kufikiri walivyokuwa wanasema diamond mdogo kwa Wema sasa huyu idrisa cjui ndio atakuwa mtoto wa wema[emoji15]Miaka 28 si haba kwa msichana ni muda muafaka kwake kuwa na mtoto
Basi shughuli ipoMarafiki sanaa na kwenye besdei walikuwepo wote wawili
Swali zuri.Walikuambia walikua wana sex aje?
jamaa ana maneno matamu