Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Hivi huyo Wema mimba huwa zinaendaga wapi maana kila mwaka nasikia.ana mimba mara ya Dimond mara ya kigogo mbunge mara sijui kumzalia nani,hivi huyu mama yeye mimba kwake ni story eeeh!
 
Mmh kama kweli wema ana mimba basi hii ni risasi kwa diamond itabidi tu na yeye aje a publish DNA kuonyesha naye kazalisha maanaaa....
 
Duuh hili gonya amakweli kila mtu na bahati yake,sasa hapo ni sura au kuna kingine ambacho amacho ni deal huko mjini,manake nyangumi ni mbaya lakini masikia mafuta yake ni deal hata Yale matapishi yake (ambari),nayo ni deal.
HAPO CHACHA HAPA TOWN WANASEMA TATIZO NYOTA
 
Kama ni kweli, domo alikuwa ana-atamia nini miaka yote? Wanaume wamegonga kitu,nyavu ikatisika fasta. Wapo forward professional, katikati ya goli,kitu kilitinga .
 
This is just beyond the pale!

Why is that anyone's concern?
 
Huyo Wema ataishia hivyo hivyo kamwe awezi kupata mimba kutafuta kuzungumziwa tu na wenye akili fupi. Huyo Idris nae amekuwa kama msichana kutafuta attention za kike.

Wema usifikiri kutengeneza makalio ndio kutengeneza mtoto mtoto utamsikia tu kwa wenzio.
 
Hivi huyo Wema mimba huwa zinaendaga wapi maana kila mwaka nasikia.ana mimba mara ya Dimond mara ya kigogo mbunge mara sijui kumzalia nani,hivi huyu mama yeye mimba kwake ni story eeeh!

hahahahahaha....mkuu hizi ni kick mkuu...huu mji bila kick huwezi ku stay relevant

Huyu binti ni kahaba mzoefu sana...
 
....Kama hizi habar ni za kweli nimeona post ya wema akiwa amemuandikia ujumbe mzito kijana idriss,.wanataniana huyu anasema atakua wa kike mwingine anasema atakua baby boy...maskn wema amepata mtoto ??! Dah huyu bibie jins alivokua anaandamwa hadi sometimes alikua anatia huruma
Ila ujasiri wake wa kuyaapuuzia ya ulimwengu...hadi anaejiita dangote aliweka msg ya kebehi Instagram kua eti zaa na wewe basi" ujue hata kama mtu unaona amekuudhi usimkejeli hali yake ...sasa Leo Mungu amemsikia Dada wa watu tena aliesababisha ni mshikaj na x wake ...kitu kimejibuu ...naskia idriss saiv anaitwa dokta inayotibu uhakika....eti wanawake wangu walikua wanatoa mimba ...Leo mbona imebak ya wema
 
Back
Top Bottom