Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Nina picha yake hapa ikionyesha huo ujauzito ni kweli haya mambo
 
Jibu hili hapa,miguu kama spok ya baiskeli?
fe191ea40a72b89785e629fd991d257f.jpg
 
Hivi Mzamiri ushawahi kumwona ?? Yule mtoto hata kama sio wa diamond kama walimwengu wasemavyo ila sio wa Katunzi vile vile
 
Kama dangote alisema wema hazai kipindi chake na kawa na mshikaji mwingine kapata mimba basi dangote akacheki DNA za mtoto usikute sio wake.
 
Wafuatao alishatoka nao kimapenzi.
1.Kanumba (marehemu ) japo nae hakumkuta bikra.
2.Chalz Baba.
3.Khalid Chokoraa.
4.T.I.D
5.Mr. Blue.
6.DIAMOND.
7...........( kigogo)
8...........(kigogo)
9............( kigogo)
10. Luis Munana.
Why DIAMOND au hao walikuwa wanampiga 071 kwahiyo hatuwezi kuwauliza kwanini hawakum'bebesha hiyo inayoitwa mimba ( kama anayo au hana hiyo ni juu yake hakuna inayomuhusu ila hongera yake kama kweli)
 
Kama dangote alisema wema hazai kipindi chake na kawa na mshikaji mwingine kapata mimba basi dangote akacheki DNA za mtoto usikute sio wake.
Hahahahahaa khaaaa!
 
Diamond alikuwa anatumia condom...na wema alikuwa hajafikia malengo yake ndo azae!
 
Dai na wema walikuwa wanatumia condom... ila Dai na nani vile tena.. wanaenda peku peku..
 
Uyasemayo ni ya kweli kabisa ila ili kujua mbivu mbichi muda huwa haudanganyi
Anza kuhesabu miezi tu kama atazaa ama la.
Tetesi za mimba zilianzia toka December, hivyo kufikia mwezi wa Nane jibu litakuwa limepatikana.
Wadaku kazi kwenu!!
 
Kama dangote alisema wema hazai kipindi chake na kawa na mshikaji mwingine kapata mimba basi dangote akacheki DNA za mtoto usikute sio wake.
Umeona mkuu wangu....jamaa linabisha kila
Kukicha ...kwanza walituambia wanafàñyà project ...mara eti wanafall in love ....dakika sifuri mimbaa...akapost na ile picha mtoto alivyokua tumboni...Leo kuna doubts haya Pima basi DNA hataki anapanik kwenye media na 'mama watoto' wake
 
Wafuatao alishatoka nao kimapenzi.
1.Kanumba (marehemu ) japo nae hakumkuta bikra.
2.Chalz Baba.
3.Khalid Chokoraa.
4.T.I.D
5.Mr. Blue.
6.DIAMOND.
7...........( kigogo)
8...........(kigogo)
9............( kigogo)
10. Luis Munana.
Why DIAMOND au hao walikuwa wanampiga 071 kwahiyo hatuwezi kuwauliza kwanini hawakum'bebesha hiyo inayoitwa mimba ( kama anayo au hana hiyo ni juu yake hakuna inayomuhusu ila hongera yake kama kweli)

Umemaliza...!!!
 
Back
Top Bottom