Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Instagram sio sehemu ya kupata habari za uhakika
1. Jana Madee alisema atachoma gari lake moto ila alichoongea leo lol utacheka
2. Wiki iliyopita Linex alijifanya kaoa kumbe kiki ya video mpya
3. Shilole na Nuh ndio ilikuwa kila siku wanazingua
4. Wastara alisema amechanganyikia nyumba zake kuwekwa X baada yasiku 2 kafunga ndoa na tabasam hadi mwisho
Na.mengine mengi tu
NB wasanii wa bongo wanawachora tu wabongo ili wapatwe kuongelewa na kupewa interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…