Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

usilinganishe pesa na mambo ya kijinga............ mpelekee wife ukute na yeye kaedit kamtumia mchepuko

Ha ha ha, eti mambo ya kijinga, umejibu kama ambavyo MO11 angejibu.

Duh, hapo pa wife kumpelekea mchepuko mistari ...! Ngoja niwaze kwanza kama inawezekana.
 
Umeona eeh?Mungu sio Athumani bwana,acha dada wa watu apumzike sasa.


Kupata mtoto sio kupumzika. Kama anataka kupumzika apumzike hii miezi michache iliyobaki manaake kazi ndio inaanza rasmi sasa.
 
Ha ha ha, eti mambo ya kijinga, umejibu kama ambavyo MO11 angejibu.

Duh, hapo pa wife kumpelekea mchepuko mistari ...! Ngoja niwaze kwanza kama inawezekana.
nakushauri usipeleke aisee unaweza kujidhalilisha
 
Kama kichwa kinavyoeleza Je Mtoto Tiffah siwakwake ni kweli??kwahiyo ni wa Mzamir Katunzi??
....Kama hizi habar ni za kweli nimeona post ya wema akiwa amemuandikia ujumbe mzito kijana idriss,.wanataniana huyu anasema atakua wa kike mwingine anasema atakua baby boy...maskn wema amepata mtoto ??! Dah huyu bibie jins alivokua anaandamwa hadi sometimes alikua anatia huruma

Ila ujasiri wake wa kuyaapuuzia ya ulimwengu...hadi anaejiita dangote aliweka msg ya kebehi Instagram kua eti zaa na wewe basi" ujue hata kama mtu unaona amekuudhi usimkejeli hali yake ...sasa Leo Mungu amemsikia Dada wa watu tena aliesababisha ni mshikaj na x wake ...kitu kimejibuu ...naskia idriss saiv anaitwa dokta inayotibu uhakika....eti wanawake wangu walikua wanatoa mimba ...Leo mbona imebak ya wema
 
Back
Top Bottom