Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
[emoji23] [emoji23] wanaume wa Arusha ktk ubora wao
 
Lawyer upooo...

Alikua anasema #Standupcomedy... sasa wabongo na stand up comedy wapi na wapi....
Huyu jamaa ni kati ya watu maarufu walio kosa malengo kabisa ..hivi huwa ana wachekesha? Maana hata kwa kingereza hachekeshi! Now ni mtangazaji hivi ata tangaza nini huyu? Dunia ina vituko sana huyu jamaa angefanya hata biashara angefanikiwa zaidi!

Alisema ana kampuni sasa sijui imefutwa na BRELA? Huyu jamaa ni muongo sana.
 
Back
Top Bottom