BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Kufulia mchezoHa ha ha Idris kanichosha usiku huu lol
Dah sasa yale mahela yote maskini sijui kafanyia nini au ndo mtaji wa kiss by Wema SepetuKufulia mchezo
Hahahahaaa" dahDah sasa yale mahela yote maskini sijui kafanyia nini au ndo mtaji wa kiss by wema sepetu
Kwani huyu mtu ni bikra kweli?bikra wa kisukuma je?
Inawezekana dai alienda nayo ili apakeHaaa eti madam alivyosikia Dai yuko USA nae huyo akasema KISS imetua kwa Obama
Yes at least awe busyBora kapata kazi.... apate la kufanya
Hapana paraa kampa mademe amtunzie ngoja asake nyingine za biereHela yote kainywa karudi kuajiriwa?
[emoji23] [emoji23] wanaume wa Arusha ktk ubora waoKaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Keshokutwa utasikia anaomba watz wamchangie anaumwa..Ma celebrate wa kibongo wanaishi kwa illusionHa ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Ndo kaipata huko Choice FMJamaa kazi anayo
Kaweka bank ya madameDah sasa yale mahela yote maskini sijui kafanyia nini au ndo mtaji wa kiss by wema sepetu
Aisee ina maana alikuwa hana lakufanya.Bora kapata kazi.... apate la kufanya
naskia jamaa hadi kunya alikua anajirekodiAisee ina maana alikuwa hana lakufanya.
Aisee ina maana alikuwa hana lakufanya.
Yes at least awe busy
Wabongo kwa majungu yatawashinda!
Huyu jamaa ni kati ya watu maarufu walio kosa malengo kabisa ..hivi huwa ana wachekesha? Maana hata kwa kingereza hachekeshi! Now ni mtangazaji hivi ata tangaza nini huyu? Dunia ina vituko sana huyu jamaa angefanya hata biashara angefanikiwa zaidi!Lawyer upooo...
Alikua anasema #Standupcomedy... sasa wabongo na stand up comedy wapi na wapi....