Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Hujui lolote kuhusu hii familia acha uongo...Idris hana umanga wowote,baba yake ni mswahili mweusi tii yuko zake Arusha na mama yake ni Mnyaturu wa Ikungi,Singida,na huko Arusha wala hawaishi Matejoo(Ofcoz Baba na Mama walishatengana kitambo,Idris amelelewa na mama zake wadogo wanaishi nyumba za NHC Ngarenaro nyuma ya Kanisa la TAG Calvery Temple)...huo weupe wa Idris ni wa kinyaturu, ndo rangi ya mama yake;ukitaka kuelewa zaidi mwangalie Mh.Chiku Galawa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya; - huyo ni mama yake mkubwa,wote ni weupe peee hawana umanga wowote;Au kama uko Arusha nenda Ilboru Lodge,mke wa Kanali Metili,owner wa Ilboru Lodge ni bibi yake,naye ni mweupe peee,usipofanikiwa kote huko nenda Singida,Ikungi kijiji cha Samumba uliza ukoo wa akina Galawa utawaona na baada ya hapo utaacha kudhani kuwa Idris ni Mmanga.
 
Tz ukiwa maarufu moja kwa moja unaqualify kuwa radio presenter
 
Nachompongeza huyu dogo alinunua nyumba fasta...sijui kama bado ipo lakini
 

kumbe yeye na wema wote ni wanyaturu...anhaaaaaaa
 
hongera zake asije kuwa kama Mwisho mwampamba kaishiwa mpaka anagombana na nduguze muda mfupi baada ya kuondokewa na baba yake
Mwisho alikua wa pili hivyo hakulipwa chochote kwenye BBA. Idris alilipwa maana alikuwa top. Huu ni ushindani tofauti kabisa. Msichanganye.
 
CV yake unayoo mzee... Tz raha sanaa
 
Mwanaume wa dar kwenye ubora wako
 
Nani idris ?! Dogo kapiga mpaka form six pale mbezi high na kafaulu tu vizuri PCB ! Angeshindwa kwenda medicine muhimbili tu ! But vyo vyengine angechaguliwa. 2013 alikuwa jkt (kwa mujibu wa sheria) kule rwamkoma 822kj... Hajataka tu kuendelea na elimu but vigezo vyote anavyo !
 
Hahahaa! Kama Kuna watu wanajua kusiriba basi na wewe umo mkuu
Ila Ukweli jamaa kwao ni familia ya shombeshombe cas binamu yake nilisoma nae darasa moja ni half-cast wa kiarabu pia

 
utangazaji wa siku hz hauitaji Cheti ni ubunifu ndio kila kitu.
Na wenye vyeti wenyewe ndio hao hawajui hata tofauti ya L na R au DHA na ZA.........utamsikia Mtangazaji anasema Mkoa wa Mala, Alusha, Luvuma...nani anataka kusikiliza huo utumbo hata kama una PHD ya utangazaji?
 
Labda ila huyu nae akili zake kama za wema sepetu
Wakati nipo umri wa Idris nilikuwa nafanya mambo very stupid kuliko yeye! Kwa Africa mtoto wa miaka 21 apate 500 Million ni too burden for him! For the time being, hakuna kitu serious Idris alichofanya kumaliza 500 Million, so I hope huko kwao wapo watu wazima wenye busara ambao wapo kwenye invisible management hadi atakavyokuwa matured enough.
 
Na kile kithembe sijui atakua anatangazaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…