Hujui lolote kuhusu hii familia acha uongo...Idris hana umanga wowote,baba yake ni mswahili mweusi tii yuko zake Arusha na mama yake ni Mnyaturu wa Ikungi,Singida,na huko Arusha wala hawaishi Matejoo(Ofcoz Baba na Mama walishatengana kitambo,Idris amelelewa na mama zake wadogo wanaishi nyumba za NHC Ngarenaro nyuma ya Kanisa la TAG Calvery Temple)...huo weupe wa Idris ni wa kinyaturu, ndo rangi ya mama yake;ukitaka kuelewa zaidi mwangalie Mh.Chiku Galawa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya; - huyo ni mama yake mkubwa,wote ni weupe peee hawana umanga wowote;Au kama uko Arusha nenda Ilboru Lodge,mke wa Kanali Metili,owner wa Ilboru Lodge ni bibi yake,naye ni mweupe peee,usipofanikiwa kote huko nenda Singida,Ikungi kijiji cha Samumba uliza ukoo wa akina Galawa utawaona na baada ya hapo utaacha kudhani kuwa Idris ni Mmanga.