Hahaha mbona Kuna siku alikua anasema ooh my mom is prominent businesswoman huko chuga and my grandpa is a business man, u know inshort nimelelewa na wafanyabiashara hahahKaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Ha ha ha so m500 zipo kwenye kibubu zimehifadhiwa, haya....Wakati nipo umri wa Idris nilikuwa nafanya mambo very stupid kuliko yeye! Kwa Africa mtoto wa miaka 21 apate 500 Million ni too burden for him! For the time being, hakuna kitu serious Idris alichofanya kumaliza 500 Million, so I hope huko kwao wapo watu wazima wenye busara ambao wapo kwenye invisible management hadi atakavyokuwa matured enough.
Kweli iddi ni MWANAUME WA DARkwan ulikuwa na malengo naye jamaniiii!! ndo ujue hivyo, wengne wanasema ati wanaume wa dar ila mim cjui ...!!
We ndo hujaelewa kabisa comment yangu.... Poleee ikurudiemwenzio alikuwa anasema ki joke joke, we umechukulia serious... poleee
Hahaha daah usisahau na urojo wakati unamtafuna Mkuul will give you my address, l promise it will be quick and painless with full of memories na lips zako zilivyo nene nitazitafuna ka bumunda!!
Shafii Dauda hana shule.... kawaida tu na visetifiketi...! Si huwa tunamsikia hata ngeli hajui kuunganisha vizuriDauda shafih? Kama ni huyo jamaa kaenda shule
Duh Jaji Kwa hiyo unatutangazia nini?Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Khaaa..!!! hivi Idris ni mweupe ati..!? [emoji15]Hujui lolote kuhusu hii familia acha uongo...Idris hana umanga wowote,baba yake ni mswahili mweusi tii yuko zake Arusha na mama yake ni Mnyaturu wa Ikungi,Singida,na huko Arusha wala hawaishi Matejoo(Ofcoz Baba na Mama walishatengana kitambo,Idris amelelewa na mama zake wadogo wanaishi nyumba za NHC Ngarenaro nyuma ya Kanisa la TAG Calvery Temple)...huo weupe wa Idris ni wa kinyaturu, ndo rangi ya mama yake;ukitaka kuelewa zaidi mwangalie Mh.Chiku Galawa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya; - huyo ni mama yake mkubwa,wote ni weupe peee hawana umanga wowote;Au kama uko Arusha nenda Ilboru Lodge,mke wa Kanali Metili,owner wa Ilboru Lodge ni bibi yake,naye ni mweupe peee,usipofanikiwa kote huko nenda Singida,Ikungi kijiji cha Samumba uliza ukoo wa akina Galawa utawaona na baada ya hapo utaacha kudhani kuwa Idris ni Mmanga.
2013 rwamkoma hawakupeleka watu, tunga stori nyingineNani idris ?! Dogo kapiga mpaka form six pale mbezi high na kafaulu tu vizuri PCB ! Angeshindwa kwenda medicine muhimbili tu ! But vyo vyengine angechaguliwa. 2013 alikuwa jkt (kwa mujibu wa sheria) kule rwamkoma 822kj... Hajataka tu kuendelea na elimu but vigezo vyote anavyo !
aibu yake mbwa huyu...na hata contents zitamshinda zaidi ya kucheka cheka hamna kitu....utangazaji sio mchezo
Khaaa..!!! hivi Idris ni mweupe ati..!? [emoji15]
Mi naamini angalau 3 zipo kwenye kibubu! Kwa 21 years ilikuwa rahisi sana kum-control hasa ukizingatia b4 BBA alikuwa bado hajachangamana sana na wajanja wa mujini!Ha ha ha so m500 zipo kwenye kibubu zimehifadhiwa, haya....
Sijawahi kumchukulia Idris serious na huyo Wema niliacha kuamini neno lake tangia issue ya "mjengo wake" wa 400 million! Suala la mimba sikulitia maanani hata robo!!!Huyo dogo, si ndie aliyempa Wema mimba feki.....! \kubabekuuu... VIJANA wahuni sana hapa MJINI Dar Es Salaam
Inawezekana bwana km una better deal, mm mwenyewe nilichomoa hapo muhimbili nikaangalia issues zingine.Hata mzungu mwenyewe hawez chomoa udocta,,,,jamaa alikuwa na dili za kuunga unga town,,hakuna cha kampun
Infortainment stations wanaangalia mtu ambae tayari ni brand... look, hata kwenda hewani bado lakini tayari thousands of people wanafahamu Idris ndani ya Choice! Je, wasikilizaji wangapi (among fans wake) wanamsubiria huko! Nini impact yake kwenye kipindi? Ni kwa kiasi gani popularity yake itavuta matangazo/advertisers kwenye kipindi?mie huwa najiuliza hao watu ambao hawana hata fani ya utangazaji wala toni of interest wanakitu gani muhimu kuliko walioamua kwa mioyo yao ya dhati kukaa darasani na kusomea fani?
Sawa dada yake Idris, afu mnafanana kweli asee