Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Hahaha mbona Kuna siku alikua anasema ooh my mom is prominent businesswoman huko chuga and my grandpa is a business man, u know inshort nimelelewa na wafanyabiashara hahah
 
Wakati nipo umri wa Idris nilikuwa nafanya mambo very stupid kuliko yeye! Kwa Africa mtoto wa miaka 21 apate 500 Million ni too burden for him! For the time being, hakuna kitu serious Idris alichofanya kumaliza 500 Million, so I hope huko kwao wapo watu wazima wenye busara ambao wapo kwenye invisible management hadi atakavyokuwa matured enough.
Ha ha ha so m500 zipo kwenye kibubu zimehifadhiwa, haya....
 
Jamani mwacheni mshkaji apige kazi, hela bado anazo sana.
 
Huyo dogo, si ndie aliyempa Wema mimba feki.....! \kubabekuuu... VIJANA wahuni sana hapa MJINI Dar Es Salaam
 
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Duh Jaji Kwa hiyo unatutangazia nini?
Au Na weye mama yako alikuwa beki tatu?Ukatokea weye mwenye WIVU wa ajabu.
Fanya kazi Kwa bidii acha majungu.
 
Dah,huu ni ubakaji wa taaluma ya uandishi wa habari nchini,haiwezekani haiwezekani na haiwezekani mtu ambaye hajasoma hata basic ya journalisim leo hii awatangazie watu kirahisi ili halo kuna wati kibao wamesoma hadi vyuo vikuu na hizo nafasi wananyimwa?mie huwa najiuliza hao watu ambao hawana hata fani ya utangazaji wala toni of interest wanakitu gani muhimu kuliko walioamua kwa mioyo yao ya dhati kukaa darasani na kusomea fani?

Iweje mtu avamie fani ilihali yeye anayake ambaye ambayo ameshindwa kuitumia?kwa namna hii nasema waziwazi kuwa kunaubakaji wa haki na uvamizi wa fani ya utangazaji hivyo ni vema MCT wakatangaza janga la kitaifa,alafu ni vema iundwe bodi ya kuwatambua na kuwathamini waandishi wa habari ambao wamemaliza vyuo ili kusudi nafasi zao kama hizo zisichukuliwe na makanjanja kama hao

Watu kama haop ndio wanao itia aibu tasnia ya habari nchini,mtu unakuta hajui hata mbinu za kufanya mahojiano na mtu,mtu hajui hata ni swali gani aulize kwa wakati gani na kwa mukatdha upi,mtu hajui hata ni njia ipi bora ya kumfanya msikilizijai apate kilde unachokitangazaa

Mambo kama haya huwezi kuyakuta katika nchi za wenzetu walioendelea,kwa kuwa wenzetu wanaichukulia fani hii kama sekta muhimu katika ukuaji wa taifa ndio maana ni nadra sana kukuta waandishi wa nchi za nnje wakiwa katika hali ya ukanjanja kama hapa kwetu.

Ukitaka kujua zaidi jaribu kumfuatilia huyo jamaa kama hutasikia akiiga hata sauti na mada mbalimbali ambazo zinafanywa na watangazaji wengine...

uwiiiiiiii nina mengi ya kusema ila kwa kweli ni pigo kwa tasnia ya uandishi wa habari na ni sawa na kuipiga konzi tasnia hiyo ambayo ingekuwa muhimili mzuri katia ya jamii na serikali

sasa hivi tunakimbilia waigiza komedi ndio wawe watangazaji wetu,BURE KABISAAAAAAAA
 
Hujui lolote kuhusu hii familia acha uongo...Idris hana umanga wowote,baba yake ni mswahili mweusi tii yuko zake Arusha na mama yake ni Mnyaturu wa Ikungi,Singida,na huko Arusha wala hawaishi Matejoo(Ofcoz Baba na Mama walishatengana kitambo,Idris amelelewa na mama zake wadogo wanaishi nyumba za NHC Ngarenaro nyuma ya Kanisa la TAG Calvery Temple)...huo weupe wa Idris ni wa kinyaturu, ndo rangi ya mama yake;ukitaka kuelewa zaidi mwangalie Mh.Chiku Galawa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya; - huyo ni mama yake mkubwa,wote ni weupe peee hawana umanga wowote;Au kama uko Arusha nenda Ilboru Lodge,mke wa Kanali Metili,owner wa Ilboru Lodge ni bibi yake,naye ni mweupe peee,usipofanikiwa kote huko nenda Singida,Ikungi kijiji cha Samumba uliza ukoo wa akina Galawa utawaona na baada ya hapo utaacha kudhani kuwa Idris ni Mmanga.
Khaaa..!!! hivi Idris ni mweupe ati..!? [emoji15]
 
Nani idris ?! Dogo kapiga mpaka form six pale mbezi high na kafaulu tu vizuri PCB ! Angeshindwa kwenda medicine muhimbili tu ! But vyo vyengine angechaguliwa. 2013 alikuwa jkt (kwa mujibu wa sheria) kule rwamkoma 822kj... Hajataka tu kuendelea na elimu but vigezo vyote anavyo !
2013 rwamkoma hawakupeleka watu, tunga stori nyingine
 
Ha ha ha so m500 zipo kwenye kibubu zimehifadhiwa, haya....
Mi naamini angalau 3 zipo kwenye kibubu! Kwa 21 years ilikuwa rahisi sana kum-control hasa ukizingatia b4 BBA alikuwa bado hajachangamana sana na wajanja wa mujini!
 
Huyo dogo, si ndie aliyempa Wema mimba feki.....! \kubabekuuu... VIJANA wahuni sana hapa MJINI Dar Es Salaam
Sijawahi kumchukulia Idris serious na huyo Wema niliacha kuamini neno lake tangia issue ya "mjengo wake" wa 400 million! Suala la mimba sikulitia maanani hata robo!!!
 
Hata mzungu mwenyewe hawez chomoa udocta,,,,jamaa alikuwa na dili za kuunga unga town,,hakuna cha kampun
Inawezekana bwana km una better deal, mm mwenyewe nilichomoa hapo muhimbili nikaangalia issues zingine.
Kwani hao ma doctor wana nini cha maana?
 
Tema mate chini...yaani Idrisa anapumuliwa kisogoni? Afu si alisema ile nyumba ni yake kanunua?
 
mie huwa najiuliza hao watu ambao hawana hata fani ya utangazaji wala toni of interest wanakitu gani muhimu kuliko walioamua kwa mioyo yao ya dhati kukaa darasani na kusomea fani?
Infortainment stations wanaangalia mtu ambae tayari ni brand... look, hata kwenda hewani bado lakini tayari thousands of people wanafahamu Idris ndani ya Choice! Je, wasikilizaji wangapi (among fans wake) wanamsubiria huko! Nini impact yake kwenye kipindi? Ni kwa kiasi gani popularity yake itavuta matangazo/advertisers kwenye kipindi?

Hivyo ndivyo vitu wanaangalia ... no offense, it's all about business!! Hayo mavyeti ya wapi cjui yana nafasi TBC, Radio One and the like!! Ukiona kwenye Infortainment stations vyeti ni mandatory basi hesabu unaenda News Room ukaishi kwa kutegemea mshahara coz' hakuna issue.
 
Back
Top Bottom