hivi ni kweli hii jamani?Mipunga imeshakata...huwezi kuishi na gumegume Wema Sepetu ukabaki salama..mwenzie CK kaishia kuuza mishikaki ya cherewa
angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie..Huyu jamaa ni kati ya watu maarufu walio kosa malengo kabisa ..hivi huwa ana wachekesha? Maana hata kwa kingereza hachekeshi! Now ni mtangazaji hivi ata tangaza nini huyu? Dunia ina vituko sana huyu jamaa angefanya hata biashara angefanikiwa zaidi!
Alisema ana kampuni sasa sijui imefutwa na Brela? Huyu jamaa ni muongo sana.
[emoji144] [emoji144] yani nakisubiri kwa hamu lol...da jane atakua anakusanya chakula ya wambea..Lol
Andunje siku yake yaja,kichambo chake kinamsubiri.
Sio yake alipangishiwa, kaka pale free mwaka. Sahizi ndo hivo mitikasi yakutafuta kodi. Me lakini siamini hela zote zimeisha!!! Utakua ni upumbavu uliotukuka.Mavipunda, post: 15896471, member: 90187"]Tema mate chini...yaani Idrisa anapumuliwa kisogoni? Afu si alisema ile nyumba ni yake kanunua?
Kwenye mkasi alisema alifaulu PCB akapangiwa udocta muhimbili ila akachomoa avute kidogo upepo
Kuajiriwa sio dhambi mbona? kina Ronaldo na mabilioni yao ni waajiriwa ati......Maisha ya kuigiza no mabaya sana.kapigwa mzinga wa milioni 98,hana kaamua kuajiriwa.kijana kapata milioni 500 Leo anatumwa?
Jaji mfawidhi anaugua Kichaa uyoacha kupotosha uyu dogo kamaliza advance pale Hill crest Mwanza na alikua anasoma PCB.
Mil 500 si alipata BBA ,wa morogoro si mlimwona kwenye news,sasa hata mimi Mtenda haki mahakamani unaniita mzushi,Kuhusu suala la Crest hill sikujua kama alijiongeza,thats all and i apologiseJaji mfawidhi anaugua Kichaa uyo
Kkkkkah ! Si kwa uzushi uo[emoji23] [emoji33]
Wewe umeangalia mkasiNani idris ?! Dogo kapiga mpaka form six pale mbezi high na kafaulu tu vizuri PCB ! Angeshindwa kwenda medicine muhimbili tu ! But vyo vyengine angechaguliwa. 2013 alikuwa jkt (kwa mujibu wa sheria) kule rwamkoma 822kj... Hajataka tu kuendelea na elimu but vigezo vyote anavyo !
Nop ! Nilikuwa nae JKT!Wewe umeangalia mkasi