Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Huyu jamaa ni kati ya watu maarufu walio kosa malengo kabisa ..hivi huwa ana wachekesha? Maana hata kwa kingereza hachekeshi! Now ni mtangazaji hivi ata tangaza nini huyu? Dunia ina vituko sana huyu jamaa angefanya hata biashara angefanikiwa zaidi!

Alisema ana kampuni sasa sijui imefutwa na Brela? Huyu jamaa ni muongo sana.
angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie..
 
Mavipunda, post: 15896471, member: 90187"]Tema mate chini...yaani Idrisa anapumuliwa kisogoni? Afu si alisema ile nyumba ni yake kanunua?
Sio yake alipangishiwa, kaka pale free mwaka. Sahizi ndo hivo mitikasi yakutafuta kodi. Me lakini siamini hela zote zimeisha!!! Utakua ni upumbavu uliotukuka.
 
Huyu dogo atakua kawekeza mahali bana.haiwezekani akate wese mapema namna hyo.
 
Maisha ya kuigiza no mabaya sana.kapigwa mzinga wa milioni 98,hana kaamua kuajiriwa.kijana kapata milioni 500 Leo anatumwa?
Kuajiriwa sio dhambi mbona? kina Ronaldo na mabilioni yao ni waajiriwa ati......
 
Utangazaji ndio fani rahisi kabisa Tanzania ,ikifiatiwa na Ukondakta na Kuuza chenji kwenye vituo vya daladala.
 
Ha ha ha@The BleiZ ,Huyu jamaa ndugu yake ni yule RC wa Morogoro aliyekuwa analia kwamba anatoka familia maskini huku akiwa na Phd.Watu wana mtaji Laki Moja wanajiajiri yeye ana mtaji Wa milioni 500 anaomba kuajiriwa,Mi naona Donal Triump aje tu fasta maana hamna namna sasa!
 
Watu masikini wana majungu..yaani ukitaka kuwajua masikini na waliochoka..waone wanavyoponda kwenye uzi huu
 
Jaji mfawidhi anaugua Kichaa uyo
Kkkkkah ! Si kwa uzushi uo[emoji23] [emoji33]
Mil 500 si alipata BBA ,wa morogoro si mlimwona kwenye news,sasa hata mimi Mtenda haki mahakamani unaniita mzushi,Kuhusu suala la Crest hill sikujua kama alijiongeza,thats all and i apologise
 
Nani idris ?! Dogo kapiga mpaka form six pale mbezi high na kafaulu tu vizuri PCB ! Angeshindwa kwenda medicine muhimbili tu ! But vyo vyengine angechaguliwa. 2013 alikuwa jkt (kwa mujibu wa sheria) kule rwamkoma 822kj... Hajataka tu kuendelea na elimu but vigezo vyote anavyo !
Wewe umeangalia mkasi
 
Back
Top Bottom