Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho unapata watoto mia mbili,kila wawili na mama moja,jumlisha mama zao,mzee unaanzisha tu nchi yako.Kha..yaani kaenda kuzika hela kwenye madini baadala ya kuzika hela kwenye papuchi...yaani mil 600 mie cha kwanza mil400 fixed deposit mil 100 ndinga kali alafu mil 100 hapo nikugegeda papuchi mia moja za million moja moja
Mwisho unapata watoto mia mbili,kila wawili na mama moja,jumlisha mama zao,mzee unaanzisha tu nchi yako.
Masikini akipataaa .......Kwa kweli hii interview ya Salama na Idris Sultan ni funzo kubwa kwa vijana. Vijana wengi pale wanapopata pesa za ghafla hupata kiwewe na kufanya maamuzi ya kukurupuka na mwisho kujikuta wakianzisha biashara na miradi bubu.
Pamoja na Idris Sultan kuwaomba BBA wasimpatie pesa mapema ili aweze kujitafakari cha kufanya lakini hiyo haikumsaidia. Idris sultan anasema alipopata milioni mia sita baada ya kufanya vizuri kwenye mashindano ya BBA alimwamini rafiki yake aitwaye Mike wakaanzisha biashara ya madini.
Idris alimuamini rafiki yake huyo na kumuachia asimamie kila kitu alipokuja kushituka milioni mia sita ilikuwa imekwisha. Kwa mujibu wa idris kitu pekee cha maana alichofanyia zile pesa ni kununua gari la shilingi milioni 30.
Baada ya pesa hizo Kwisha alishindwa kulipa kodi kwenye nyumba za akina Ghalib akarudisha vyombo kwa mama yake mdogo aishiye kimara. Akamfuata Ruge Mutahaba na kumuomba kazi ya utangazaji ili aweze kulipa madeni aliyoyapata kutokana na biashara ya madini. Anasema mshahara ukawa unaenda kulipa madeni yeye akawa anaambulia laki tatu tu kila mwezi.
Baadaye alijipanga na kutafuta wawekezaji akaanza biashara ya viatu akainuka tena mpaka kufikia hatua mwaka 2018 aliingiza milioni mia tatu kwa mwaka.
Hakika vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Idris Sultan na aliyoyapitia.
Msikilize
Kwa kweli hii interview ya Salama na Idris Sultan ni funzo kubwa kwa vijana. Vijana wengi pale wanapopata pesa za ghafla hupata kiwewe na kufanya maamuzi ya kukurupuka na mwisho kujikuta wakianzisha biashara na miradi bubu.
Pamoja na Idris Sultan kuwaomba BBA wasimpatie pesa mapema ili aweze kujitafakari cha kufanya lakini hiyo haikumsaidia. Idris sultan anasema alipopata milioni mia sita baada ya kufanya vizuri kwenye mashindano ya BBA alimwamini rafiki yake aitwaye Mike wakaanzisha biashara ya madini.
Idris alimuamini rafiki yake huyo na kumuachia asimamie kila kitu alipokuja kushituka milioni mia sita ilikuwa imekwisha. Kwa mujibu wa idris kitu pekee cha maana alichofanyia zile pesa ni kununua gari la shilingi milioni 30.
Baada ya pesa hizo Kwisha alishindwa kulipa kodi kwenye nyumba za akina Ghalib akarudisha vyombo kwa mama yake mdogo aishiye kimara. Akamfuata Ruge Mutahaba na kumuomba kazi ya utangazaji ili aweze kulipa madeni aliyoyapata kutokana na biashara ya madini. Anasema mshahara ukawa unaenda kulipa madeni yeye akawa anaambulia laki tatu tu kila mwezi.
Baadaye alijipanga na kutafuta wawekezaji akaanza biashara ya viatu akainuka tena mpaka kufikia hatua mwaka 2018 aliingiza milioni mia tatu kwa mwaka.
Hakika vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Idris Sultan na aliyoyapitia.
Msikilize
Kaongeza sifuri kadhaa hapo,usiwaamini sana wasaniiHe is a hero, katoka KWENYE 0 hadi 300mil
Shilingi milioni mia sita ni hela nyingi sana kama hujawahi kuishika.
Ukiishika tu, inakuwa ndogo.
Kwa sababu mipango na matumizi yako yanabadilika.
Ni watu wachache sana wanaoweza kushika hela bila kubadili lifestyle ghafla.
Ukiwa hujawahi kutumia shilingi milioni sitini kwa siku moja, huwezi kuelewa hilo.kwakweli asilaumiwe,kila mtu ajichunguze kama angeweza kukaza[emoji1][emoji1].
yaani hapa nilipo nina waza nyumba kali,gari kali,mavazi makali,halafu kaboooom 1bln nge.
aaaaah,sijui watanishikia wapi!!!!
Mkuu niamini.. hata we una makosa yako ktk maisha na kuna mtu anakuona stupid vile pengine kuliko huyu jamaa..Stupid
NakubaliMkuu niamini.. hata we una makosa yako ktk maisha na kuna mtu anakuona stupid vile pengine kuliko huyu jamaa..
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hapana ni heroStupid
Kupanga kwa kutamka ni rahisi sana.Kha..yaani kaenda kuzika hela kwenye madini baadala ya kuzika hela kwenye papuchi...yaani mil 600 mie cha kwanza mil400 fixed deposit mil 100 ndinga kali alafu mil 100 hapo nikugegeda papuchi mia moja za million moja moja