Idris Sultan ni mwigizaji mzuri sana, akifuata ushauri huu 'atatoboa' kimataifa

Ushauri mzuri, Idris anang’ang’ania comedy ambayo hata hivyo haiwezi kihivyo. Comedians wa ukweli kama akina Njugush na Joti nikiwaona tu naanza kucheka kabla hawajaongea chochote.

Na hii tabia yake ya kutokupitwa na jambo ndio kabisaaaaa anakera, kila jambo lazima alisemee.

Sent from my iPhone using Tapatalk
idris anafanya serious comedy kama ile ya kina martin lawrence au kelvin hart sio lazima ajivalishe kama chizi..ingawa nadhani kitanzania serious comedy bado sana ndo maana unakuta hata founders kama evance bukuku alijaribu lakin hakutoboa kivile
 
Nilisoma kichwa cha habari haraka nikadhani unamshauri "Idris Elba" really??? kumbe Sultan

Huyo jamaa nilimpigia kura nyingi sana Big Brother- I was really expecting a lot from him ila alivyorudi nikamuona holly shit zile kura zangu nilipoteza

mwanzoni aina yake ya commedy ilikua ni kuattack watu nikajua hatoboi huyu na badala ya ucheke unajikuta unamcheka yeye.

unashinda mamilion ya pesa na connection ya nusu ya Africa then unakuja kuuza viatu? Holly Shit Again and Again
 
I think he never had a plan , that's why aliporomoka, pesa nyingi za reward huwa hazidumu coz you never sweat for it, pili unakua haujaipangia, so once you win unapagawa unajikuta pesa zote zimeisha hujui ulichofanyia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushauri mzuri, Idris anang’ang’ania comedy ambayo hata hivyo haiwezi kihivyo. Comedians wa ukweli kama akina Njugush na Joti nikiwaona tu naanza kucheka kabla hawajaongea chochote.

Na hii tabia yake ya kutokupitwa na jambo ndio kabisaaaaa anakera, kila jambo lazima alisemee.

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahah you nailed it and personally namuelewa sana Joti probably the first guy who makes me giggle before he even speaks a word.

Comedy isn't attacking people, huyu bwana yeye anatembea na matukio tu yet he finds it as comedy! Sio siri akiandaa tamasha sipeleki hata sh.mia yangu mbovu huko kwa event maana hajui!
 
I think he never had a plan , that's why aliporomoka, pesa nyingi za reward huwa hazidumu coz you never sweat for it, pili unakua haujaipangia, so once you win unapagawa unajikuta pesa zote zimeisha hujui ulichofanyia

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kweli afuate ushauri wako then dizain kama Warumi siku hizi umeacha upashkuna Positivity deep inside of you...Hongera!!
 
Hahah you nailed it and personally namuelewa sana Joti probably the first guy who makes me giggle before he even speaks a word.

Comedy isn't attacking people, huyu bwana yeye anatembea na matukio tu yet he finds it as comedy! Sio siri akiandaa tamasha sipeleki hata sh.mia yangu mbovu huko kwa event maana hajui!

I attended his show December , and it was for free , but it was boring as https://jamii.app/JFUserGuide , na watu waliboeka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli afuate ushauri wako then dizain kama Warumi siku hizi umeacha upashkuna Positivity deep inside of you...Hongera!!

Aaah, ahsante sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I attended his show December , and it was for free , but it was boring as **** , na watu waliboeka

Sent from my iPhone using JamiiForums
I wonder hao wanaompa kichwa kuwa anaweza,,,kipaji hakijifichi bhana. Ukiwa nacho kinajionesha bila hata kutumia nguvu. Show ilikuwa wapi, how much did he charge?
 
idris anafanya serious comedy kama ile ya kina martin lawrence au kelvin hart sio lazima ajivalishe kama chizi..ingawa nadhani kitanzania serious comedy bado sana ndo maana unakuta hata founders kama evance bukuku alijaribu lakin hakutoboa kivile

Wacha masihara we mtu.
 
I wonder hao wanaompa kichwa kuwa anaweza,,,kipaji hakijifichi bhana. Ukiwa nacho kinajionesha bila hata kutumia nguvu. Show ilikuwa wapi, how much did he charge?

Masaki , kiingilio ilikua bure

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom