Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huwa unapotea sanaaaaa tatizo n nini?
Mbona huwa unapotea sanaaaaa tatizo n nini?
idris anafanya serious comedy kama ile ya kina martin lawrence au kelvin hart sio lazima ajivalishe kama chizi..ingawa nadhani kitanzania serious comedy bado sana ndo maana unakuta hata founders kama evance bukuku alijaribu lakin hakutoboa kivileUshauri mzuri, Idris anang’ang’ania comedy ambayo hata hivyo haiwezi kihivyo. Comedians wa ukweli kama akina Njugush na Joti nikiwaona tu naanza kucheka kabla hawajaongea chochote.
Na hii tabia yake ya kutokupitwa na jambo ndio kabisaaaaa anakera, kila jambo lazima alisemee.
Sent from my iPhone using Tapatalk
yeah watu wengi wanasema jamaa anaforce hiviI hate that boy when he tries to become a comedian, inshort hajui analazimisha! Kuna wanawake wana hisia nae za kimapenzi (mahaba) ndio wanaocheka cheka na kila post anayoweka.
Sio kitu ambacho anaweza yani, kuwa na sense of humor haimaanishi unaweza kuwa comedian. Hicho ndicho asichokielewa jamaa yenu. Anaharibu bila kujijua.yeah watu wengi wanasema jamaa anaforce hivi
kwa kweli kama anaona maoni haya ajirekebisheSio kitu ambacho anaweza yani, kuwa na sense of humor haimaanishi unaweza kuwa comedian. Hicho ndicho asichokielewa jamaa yenu. Anaharibu bila kujijua.
Nilisoma kichwa cha habari haraka nikadhani unamshauri "Idris Elba" really??? kumbe Sultan
Huyo jamaa nilimpigia kura nyingi sana Big Brother- I was really expecting a lot from him ila alivyorudi nikamuona holly shit zile kura zangu nilipoteza
mwanzoni aina yake ya commedy ilikua ni kuattack watu nikajua hatoboi huyu na badala ya ucheke unajikuta unamcheka yeye.
unashinda mamilion ya pesa na connection ya nusu ya Africa then unakuja kuuza viatu? Holly Shit Again and Again
Hahah you nailed it and personally namuelewa sana Joti probably the first guy who makes me giggle before he even speaks a word.Ushauri mzuri, Idris anang’ang’ania comedy ambayo hata hivyo haiwezi kihivyo. Comedians wa ukweli kama akina Njugush na Joti nikiwaona tu naanza kucheka kabla hawajaongea chochote.
Na hii tabia yake ya kutokupitwa na jambo ndio kabisaaaaa anakera, kila jambo lazima alisemee.
Sent from my iPhone using Tapatalk
I think he never had a plan , that's why aliporomoka, pesa nyingi za reward huwa hazidumu coz you never sweat for it, pili unakua haujaipangia, so once you win unapagawa unajikuta pesa zote zimeisha hujui ulichofanyia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahah you nailed it and personally namuelewa sana Joti probably the first guy who makes me giggle before he even speaks a word.
Comedy isn't attacking people, huyu bwana yeye anatembea na matukio tu yet he finds it as comedy! Sio siri akiandaa tamasha sipeleki hata sh.mia yangu mbovu huko kwa event maana hajui!
I wonder hao wanaompa kichwa kuwa anaweza,,,kipaji hakijifichi bhana. Ukiwa nacho kinajionesha bila hata kutumia nguvu. Show ilikuwa wapi, how much did he charge?I attended his show December , and it was for free , but it was boring as **** , na watu waliboeka
Sent from my iPhone using JamiiForums
idris anafanya serious comedy kama ile ya kina martin lawrence au kelvin hart sio lazima ajivalishe kama chizi..ingawa nadhani kitanzania serious comedy bado sana ndo maana unakuta hata founders kama evance bukuku alijaribu lakin hakutoboa kivile
Oh si mbayaMasaki , kiingilio ilikua bure
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi free maana yake niniI wonder hao wanaompa kichwa kuwa anaweza,,,kipaji hakijifichi bhana. Ukiwa nacho kinajionesha bila hata kutumia nguvu. Show ilikuwa wapi, how much did he charge?