Idris Sultan: Wanawake wananiogopa

Idris Sultan: Wanawake wananiogopa

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
sultan.jpg

Mfanyabiashara na mchekeshaji maarufu bongo Idriss Sultani amekiri wazi kwa sasa wanawake wengi na warembo wanamuogopa kuwa naye kwenye mahusiano kutokana na kazi yake pamoja na umaarufu alionao.

Idris amefunguka hayo leo akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni Live kinachorushwa kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV nakusema kwamba wanawake wanaoonekana sahihi kwake yaani wenye msimamo, akili na wasio tegemezi wanaogopa kuwa naye kwa kudhani kwamba maisha yao yatakuwa yakufatwa fatwa na mapaparazi pamoja na magazeti ya udaku.

Idris ameongeza kuwa wakati mwingine anadhani kazi yake ya uchekeshaji nayo pia ndiyo sababu pia akose wanawake wenye vigezo vyake kwani watu wanahisi kuwa anakuwa hayupo 'serious' katika suala zima la mahusiano.

"Kabla mtu hajakutana na wewe anakuwa ameshakujaji kila kitu kiasi kwamba mpaka anakufikia anaweza kusema huyu dogo kichaa. Wanahisi sisi 'comedian' hatupo serious hawadhani kama tunaweza kupenda lakini cha ajabu wenzetu huko nje ya nchi wanapata wanawake wazuri yaani pisiii kweli kweli.." Idris

Idriss ameongeza kwamba "kuwa mchekeshaji n moja ya kigezo kinachonifanya nisipate 'a proper women' ninayemtaka.
 
kirerenya Si kama hivi ajuavyo yeye, atakuwa anajidanganya tu. Wanawake wengi Dar wanahisi Idrissi ni shoga au mambo yote, yaani analiwa na kula.

Hii isishangaze wengi kwani ni tabia iliyokithiri kwa wanaume wengi wa Dar wa kila rika, mtu nyumbani anajulikana kama Idrissa akienda nje anakuwa Aunt Eidy mwenye kuvaa shanga kiunoni na vikuku huku akicheza bongo fleva na mchiriku mbele ya wanaume wanaomchezea makalio.

Kila mtu dar ni shoga? Hamna tusi jingine mana hilo lishakuwa hadi gumu kuamini.
 
Back
Top Bottom