Hivi unaanzaje kuniambia milioni 500 ni ndogo wakati watu tumeanza biashara na mtaji chini ya milion kumi na tumefanikiwa vizuri tuu! Acheni kuwaza kirahisi rahisi bhana..tatizo humu kuna watoto wengi hawajui pesa..pesa wanayoijua ni ya boom tu la chuo..milioni 500 ni pesa ndogo sana...Wamuulize diamond anatumia sh. Ngapi kwa mwezi ndio watashanga..pesa ndogo sana hiyo
Hapo ndio kwake..amebakiza nyumba tu kule forestya urithiNamuona kilaza mwenzie apa nyumbani park kihonda. .kabaki na ndevu tu.
We unafikiri raha za jiji hili mchezo,kurudi kwenu kijijini ni mpaka ufulie!Huyo dogo nilishangaa alivyopata million 500 eti akataka kufanya biashara ya T-shirt.. Angerudi Arusha, akachukua ofisi kali na leseni ya kuuza madini akatafuta nyoka akanunua Costa ya kuwapeleka nyoka wake Mererani kutafuta Tanzanite yeye anakuja kununua then anaenda kuuza US na China.. Pia angeweza kununua gold kuanzia kilo na kuendelea then anaenda kuuza huko mbele.. Within a year angekuwa anacheza kwenye billion kadhaa huko
Ha ha haPesa yoyote kama haizalishwi lazima iishe!
Ni kama pesa ya mgodini au ya utalii wanakujaga kusema eti ni pesa ya majini, teh
Nimewaza huyu chalii anamwongelea nani asante kwa kujifungua aiseeeDuh!Mr end mwacotton=mr mwisho mwampamba
Nimeupenda ubunifu wako.
hakuna biashara inayofilisi kama madini mkuu...mabroker wengi wamechoka hawana kitu
We unafikiri raha za jiji hili mchezo,kurudi kwenu kijijini ni mpaka ufulie!
Ahsante kwa kushukuru miss terminology nyingi siku hizi inabidi uchangamshe kichwa pamoja sawa miss chagga.Nimewaza huyu chalii anamwongelea nani asante kwa kujifungua aiseee
Sawa mkuuAhsante kwa kushukuru miss terminology nyingi siku hizi inabidi uchangamshe kichwa pamoja sawa miss chagga.
Nadhani biashara ya gold anafanya sidhani kama kasema kafulia moja kwa moja baada ya kuingizwa mkenge.Huyo dogo nilishangaa alivyopata million 500 eti akataka kufanya biashara ya T-shirt.. Angerudi Arusha, akachukua ofisi kali na leseni ya kuuza madini akatafuta nyoka akanunua Costa ya kuwapeleka nyoka wake Mererani kutafuta Tanzanite yeye anakuja kununua then anaenda kuuza US na China.. Pia angeweza kununua gold kuanzia kilo na kuendelea then anaenda kuuza huko mbele.. Within a year angekuwa anacheza kwenye billion kadhaa huko
Nadhani biashara ya gold anafanya sidhani kama kasema kafulia moja kwa moja baada ya kuingizwa mkenge.