Idris Sultan: Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha

Idris Sultan: Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha

Kuna apartments flani pale roundabout ya kuelekea Giraffe hotel niliona kaweka katika mitandao kwamba kanunua kamoja..kuna jamaa yangu anahudumia zile nyumba taarifa alizokuja kunipa nilichoka kabisa na nikamuona huyu Idrissa ni mngese kweli
 
Wametafuna hela zako si kwa shobo zako mwnyw et star kwa tz hakuna star wa style iyo
 
Huyu jamaa msimtukane sana huenda hiyo hela ameifungia mahali alafu anajifanya amechoka!!!!?
 
tatizo humu kuna watoto wengi hawajui pesa..pesa wanayoijua ni ya boom tu la chuo..milioni 500 ni pesa ndogo sana...Wamuulize diamond anatumia sh. Ngapi kwa mwezi ndio watashanga..pesa ndogo sana hiyo
Hivi unaanzaje kuniambia milioni 500 ni ndogo wakati watu tumeanza biashara na mtaji chini ya milion kumi na tumefanikiwa vizuri tuu! Acheni kuwaza kirahisi rahisi bhana..
 
Wakuu unadhani utakuwa na Wema ukabaki mtu?
Lakni kashtuka bado young,so M 500 so what atapata tu.
 
Huyo dogo nilishangaa alivyopata million 500 eti akataka kufanya biashara ya T-shirt.. Angerudi Arusha, akachukua ofisi kali na leseni ya kuuza madini akatafuta nyoka akanunua Costa ya kuwapeleka nyoka wake Mererani kutafuta Tanzanite yeye anakuja kununua then anaenda kuuza US na China.. Pia angeweza kununua gold kuanzia kilo na kuendelea then anaenda kuuza huko mbele.. Within a year angekuwa anacheza kwenye billion kadhaa huko
We unafikiri raha za jiji hili mchezo,kurudi kwenu kijijini ni mpaka ufulie!
 
Hakuwa na mpango thabiti ya kuilinda na kuikuza pesa yake na. Hayo ndio matokeo yake
 
We unafikiri raha za jiji hili mchezo,kurudi kwenu kijijini ni mpaka ufulie!

Hahahahaha mimi binafsi nilishajua akibaki hapo hakatizi miaka mitatu atabaki hana kitu... Nilipochoka ni pale aliponunua ile nyumba kule Africana.. Nikajiwazia tu kwanini huyo dogo asingerudi Arusha akaanzia palepale kwao au akarent nyumba Njiro au Sakina.. Biashara ya madini kwa huo mtaji ingemlipa mno.. Mbaya zaidi nilivyosikia anakichafua na wema nikajua ndio habari yake imekwisha..
 
Huyo dogo nilishangaa alivyopata million 500 eti akataka kufanya biashara ya T-shirt.. Angerudi Arusha, akachukua ofisi kali na leseni ya kuuza madini akatafuta nyoka akanunua Costa ya kuwapeleka nyoka wake Mererani kutafuta Tanzanite yeye anakuja kununua then anaenda kuuza US na China.. Pia angeweza kununua gold kuanzia kilo na kuendelea then anaenda kuuza huko mbele.. Within a year angekuwa anacheza kwenye billion kadhaa huko
Nadhani biashara ya gold anafanya sidhani kama kasema kafulia moja kwa moja baada ya kuingizwa mkenge.
 
Hiyo pesa angenunua costa used za milioni hamsini hamsini, angekuwa nazo kumi, kipande kwa siku ni laki kwa gari moja. Kwa mwezi angeweza kutengeneza zaidi ya milioni thelasini na kuendelea kutumia bila kufulia. Sema hawa wenzetu wanaendekeza sana starehe ndio kinachowaponza...
 
Back
Top Bottom