Idris Sultan: Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha

Nilishangaa kijana pesa zote zilee anakuja kuajiriwaa kwenye redio hizo zilikua nikazi ambazo za vijana amabao hawana ajira
Hatu pingi kua nakipaji cha kutangazaa...
Balii alikua na base kubwa sanaa na tittle kubwa mjini ya kufanya biasharaa...
Ange mfuata hata sugu au lemutuzi ze akili kubwaa ampe janja janja ya kuishi town na masuper billionaires u know
 
Si ndio hao kasema wameharibu hela zake?! Washauri wenyewe hapa bongo wapigaji, wanaangalia wakupige vipi!

Hao wataalamu wa mitaani hamna kitu, kuna business dev experts wanaoheshimika sehemu mbali mbali duniani na wanakula contracts za maana na wanafanya kazi vizuri, hawa matajiri wa bongo unadhani kila kitu wanafanya wao?kuna team kubwa sasa yeye alikuwa akiambiwa toa milioni kumi tukanunue kamera anatoa, toa ya party anatoa, mchizi kaja na shida zake za uongo na kweli unampa hela n.k
 
Hivi ni kweli alimpa wema mimba? Sijui ilikuaje akanasa kwa yule binti.naona kamchuna mpaka ukucha sasa anabaki analialia.poor idriss
 
Watu wengi humu....namaanisha humu ndani...hamjui hela..milioni 500 si mchezo..sio laki nane hiyo
 
Kwa umri..na watu waliomzunguka.

500 ni hela ambayo matajiri wengi wa kichaga hawana lazma angepata wenge
 
mtonyo wenyewe ulikuwa na ganji za mtu kibao kuanzia huko uko sauz,,yan ktk 500 unaeza kuta mchiz aliambulia 200 tu
 
Hizo pesa za big brother ni pesa za kishetani huwezi kufanyia chochote.uchafu unaofanyika ndani ya jumba lile mungu hawezi kukubariki.tusiwalaumu kina mwampamba na idrissa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…