SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Duuuh.
Huyu saa mbovuu
Mbona wanisema hahahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh.
Huyu saa mbovuu
Mbona sabab tuna ijua ata asiwaze
Ila hana akili kabsaa
Hahhaaaa maaan why umejiiita saa mbovuMbona wanisema hahahaaa
Si ndio hao kasema wameharibu hela zake?! Washauri wenyewe hapa bongo wapigaji, wanaangalia wakupige vipi!
Aisee!Wakoloni wana kamsemo kao " A fool and his money will soon part"
Anagombea nyumba ya urithi na ndugu yake yule rasta.Namuona kilaza mwenzie apa nyumbani park kihonda. .kabaki na ndevu tu.
Mbuzi kala mkeka wapambe watakalia nini
Anamenejiwa nini hilo ndo swali la msingi?Pamabavu tu huyu, anashindwaje kujimanage mwenyewe mpaka awe na management ya kum manage yeye?
Nipe kampani ya kushangaa arooHivi milioni 500 nazo lazima uzitafutie Management ili ikuongoze ili kuzizalisha? Akili za kipunga huwaga zinafanana dunia nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahh!!!!!Namuona kilaza mwenzie apa nyumbani park kihonda. .kabaki na ndevu tu.