Hahahaha...bro umeeleza vizuri sana
Japo uliwahi kuniambia wewe hua hujadili watu humu sijui leo imekuaje mkuu
samahani lakini usinitukane mkuu nimewaza kwa sauti tuu...Kudos!
Hahahahahaha aiseee!Mburulaz huyo wacha aisome namba *****! alaaah!!! Unadate na malaya km wema sepetu unategemea nini? na bado utakuja kusikia ni mpiga debe wa daladala teh teh teheeeeee.......... chezea wadada wa mjini weye utalima lami!
Hizo pesa za big brother ni pesa za kishetani huwezi kufanyia chochote.uchafu unaofanyika ndani ya jumba lile mungu hawezi kukubariki.tusiwalaumu kina mwampamba na idrissa.
akili yako yote imeliwa na mchwa babu.... hivi unasema mil 500 ni ndogo... hiyo pesa ni ndogo kwa mwendawazimu anayewaza starehe na anasa za dunia tuu... watu wamekua ma-bilionea kwa mtaji wa 200,000 tuu.... huyo mpumbavu amepata pesa yote hiyo leo hii analia kwenye media imekauka..kichaa sio lazima abebe makopo.. maa ni naztatizo humu kuna watoto wengi hawajui pesa..pesa wanayoijua ni ya boom tu la chuo..milioni 500 ni pesa ndogo sana...Wamuulize diamond anatumia sh. Ngapi kwa mwezi ndio watashanga..pesa ndogo sana hiyo
acha iman potofu wewe, et mtu akipata pesa nyingi tu zimekua zakishetani!!....alaa!!Hizo pesa za big brother ni pesa za kishetani huwezi kufanyia chochote.uchafu unaofanyika ndani ya jumba lile mungu hawezi kukubariki.tusiwalaumu kina mwampamba na idrissa.
ha ha hiyo pesa angempa chali mdogo wa kichaga angekua bilionea saivi.. chezea mangiii..Nilishangaa kijana pesa zote zilee anakuja kuajiriwaa kwenye redio hizo zilikua nikazi ambazo za vijana amabao hawana ajira
Hatu pingi kua nakipaji cha kutangazaa...
Balii alikua na base kubwa sanaa na tittle kubwa mjini ya kufanya biasharaa...
Ange mfuata hata sugu au lemutuzi ze akili kubwaa ampe janja janja ya kuishi town na masuper billionaires u know