Idris Sultan: Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha

Idris Sultan: Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha

Pia huyo idrissa ingekuwa kweli kaingizwa mjini lazima angewataja waliomtapeli lakini haiwezekani adhulumiwe halafu asiwataje wahusika.pumba tupu.
 
Hahahaha...bro umeeleza vizuri sana

Japo uliwahi kuniambia wewe hua hujadili watu humu sijui leo imekuaje mkuu

samahani lakini usinitukane mkuu nimewaza kwa sauti tuu...Kudos!

Ha ha ha, umejihami kinoma noma, huyo jamaa kum-quote huwa naogopa sana naishia kumsoma tu.

Ila naona kakulinda aisee.
 
Mburulaz huyo wacha aisome namba *****! alaaah!!! Unadate na malaya km wema sepetu unategemea nini? na bado utakuja kusikia ni mpiga debe wa daladala teh teh teheeeeee.......... chezea wadada wa mjini weye utalima lami!
Hahahahahaha aiseee!
 
Hizo pesa za big brother ni pesa za kishetani huwezi kufanyia chochote.uchafu unaofanyika ndani ya jumba lile mungu hawezi kukubariki.tusiwalaumu kina mwampamba na idrissa.

Mtafute yule dada aliyeshinda kabla ya Idriss uone alikofika, ni Mnamibia anaitwa Dillish (kama sijakosea spelling), she is a millionaire now.
 
tatizo humu kuna watoto wengi hawajui pesa..pesa wanayoijua ni ya boom tu la chuo..milioni 500 ni pesa ndogo sana...Wamuulize diamond anatumia sh. Ngapi kwa mwezi ndio watashanga..pesa ndogo sana hiyo
akili yako yote imeliwa na mchwa babu.... hivi unasema mil 500 ni ndogo... hiyo pesa ni ndogo kwa mwendawazimu anayewaza starehe na anasa za dunia tuu... watu wamekua ma-bilionea kwa mtaji wa 200,000 tuu.... huyo mpumbavu amepata pesa yote hiyo leo hii analia kwenye media imekauka..kichaa sio lazima abebe makopo.. maa ni naz
 
Hizo pesa za big brother ni pesa za kishetani huwezi kufanyia chochote.uchafu unaofanyika ndani ya jumba lile mungu hawezi kukubariki.tusiwalaumu kina mwampamba na idrissa.
acha iman potofu wewe, et mtu akipata pesa nyingi tu zimekua zakishetani!!....alaa!!
 
Nilishangaa kijana pesa zote zilee anakuja kuajiriwaa kwenye redio hizo zilikua nikazi ambazo za vijana amabao hawana ajira
Hatu pingi kua nakipaji cha kutangazaa...
Balii alikua na base kubwa sanaa na tittle kubwa mjini ya kufanya biasharaa...
Ange mfuata hata sugu au lemutuzi ze akili kubwaa ampe janja janja ya kuishi town na masuper billionaires u know
ha ha hiyo pesa angempa chali mdogo wa kichaga angekua bilionea saivi.. chezea mangiii..
 
Kuna uwezekano jinsi mtu anapokuwa maarufu bongo,akili upotea taaaratibu
 
Kweli wema yupo vizuri,ni nyoka mwenye makengeza ni mtu wa kuangalia fursa na kweli alitumia vizuri kampukutisha kaka mkubwa hadi analia, namshauri asiuuze tu ile nyumba kutoka kazini efm hadi Africana kwa bajaji ni buku3 tu.
 
Back
Top Bottom