Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Idd asiumie sana... Inawezekana Wema keshabadilika... Huwezi jua
Jr[emoji769]
Nlijua
Idris hawezi sahau ile 500million ya BIG BROTHER ilivoyeyuka kimiujiza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abadilike wapi? Ile iko damuni mufilisi by nature. Wanyiramba na wanyaturu wakike ukiwa nao kimahusiano utafilisika tu au uzikwe Kabisa. Jaribu kutafiti utaupata ukweli
Hahahahahah, Nine Cheka kwa sauti kubwa afu mbele ya watu khaaaaahNlijua
Idris hawezi sahau ile 500million ya BIG BROTHER ilivoyeyuka kimiujiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Namna ulivyoiandika na ulivyomtambulisha Wema, yaonyesha una chuki au nongwa na mwanamke mwenzio... Hahahaha wanawake bhana,.. Unateseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unamuita mwenzio nyumbu? Wema is beautiful kama hana akili basi ni bahati mbaya tu si kila mtu amezaliwa awe na akili. Mi sijawahi na siwezi kuwa shabiki wake vivyo hivyo sina issues nae. Siwezi mchukia mtu simjui and call her names. We ni mwanamke sio? Ndio maana wanasema wanawake hatupendani.
Publicity is publicity
Mwenzio hapa anafurahi namrudishia Kiki iliyopotea. Usichukulie serious sana
Ni kweli kabadilika kimwili saivi kapungua 😁Idd asiumie sana... Inawezekana Wema keshabadilika... Huwezi jua
Jr[emoji769]