Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Pesa bado inaumaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyonga anaweza badili rangi kadili awezavyo ila ngozi ya bidamu haiwezi fanya hivyo, sambamba na tabia.Idd asiumie sana... Inawezekana Wema keshabadilika... Huwezi jua
Jr[emoji769]
Mwanaume unatoaje ushauri kama huo.
Ni bingwa wa kuzitapanyaBaada ya wema sepetu maarufu Kama nyumbu kumtambulisha mwanaume wake anayesemekana kwamba ni rubani, idris sultan ambaye aliwahi kutoka na mwanamke huyo amemtahadharisha mpenzi huyo wa wema kwamba awe makini kwa maana nyumbu sio mzuri kwenye maswala ya fedha .
Ni bingwa wa kuzitapanya
Milion 500 ya iddy ilitafunwa km laki tano vile.
Kwanza sio milioni 500, ni milioni 500 toa kodi.
Pili, kati ya huyo mshindi wa big brother na Wema nani alimuacha mwenzie? Namaanisha kwani Wema alimwacha Inamaana Wema alimwacha mshindi wa bug brother baada ya pesa kwisha?
Wema hebu jiongeze uoelewe utulie, sio wote wanaekutakia mema na mmoja wapo ni huko ex wako.
Wema Ndio alimuacha. Kifupi alikuwa na idris bado akawa anasagana.
Wema Ndio alimuacha. Kifupi alikuwa na idris bado akawa anasagana.
Danzak amefeli wapi[emoji44]
Kwa jinsi navyoona ni "fame induction" Kama mnavyojua bogus alivyo na kismati Cha umaarufu
Hata Mimi nikizipata namkojolea ili nipate kuwa maarufu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi km huamini. Diana kimaro, wolper, aunty Ezekiel
Cc warumi
Yeye ndo anawasaga au wao ndo wanamsaga? Waswahili mna kazi.nyie
Wolper na Diana ni wanaume. Aunty Ndio cjajua km anasaga na kusagwa au lah.
Mbona Diana alishahongwa hela za mdada mmoja hadi huyo don wa mirungi akafilisika Moshi Kwa kumkoboa vizuri. Yani alipangiwa hadi nyumba wakaishi Kama mke na mume ndugu wakaongea weeee hadi wakachoka wakaachana Kwa yao.