Idris Sultan: Wema sio mzuri kwenye mambo ya fedha

Idris Sultan: Wema sio mzuri kwenye mambo ya fedha

Baada ya Wema Sepetu maarufu kama TZ Sweetheart kumtambulisha mwanaume wake anayesemekana kwamba ni rubani, Idris Sultan ambaye aliwahi kutoka na mwanamke huyo amemtahadharisha mpenzi huyo wa Wema kwamba awe makini kwa maana sio mzuri kwenye maswala ya fedha.
Hahahaa Idris amekumbuka 500m zilivyoisha fasta.
 
Nasikia wolper anahonga Sana. Halafu mange alipost mahali wolper anakoboa Hadi vidume. NI kweli? But rafiki was karibu was Wema anasema Wema ndio kidume.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wolper ni kidume ww. Na story za mjini zinadai eti Ana desh desh ndo maana amechagua hyo njia
 
Sema wewe mama.
Kuna vitu vingine akiandika mwanamke hasa mmama vina ukakasi sana basi tu.

Humu duniani kuna magonjwa ya kila aina nilisoma na mdada a level ambae hawezi kukaa ule muda wa darasa saa 1 asubuhi mpaka saa 8 bila kuoga na kubadili nguo.
Aiseee darasa nzima hamkai kwa hiyo harufu yake.
Inabidi saa 4 chap break aende hostel akaoge abadili nguo na alikuwa msafi hatari tola mdogo hayo ndo maisha yake.
Alikuja kupata tiba ukubwani na hiyo kwake ni historia tu.
Sometimes watu wanakuwa na mabeef yao au wivu tu wanaamua kusambaza kashfa ili mtu ajifariji.

Dah!mamy unanguvu gan kumdhalilisha hv mwanamke mwenzako???unajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makashfa ya namna hii tunayaonaga kwa wavulana na sio wanaume!leo upepo umegeuka kwa mwanamke !ule msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke huwa una ukweli sana!
Too bad ni mwanamke!
 
Wema Ndio alimuacha. Kifupi alikuwa na idris bado akawa anasagana.

Mama Bishanga hii chai. Huyo mtoto Id ndio alizua balaa alipotinywa pesa zilipokua zinamwishia, akawa anajindoa kwa Wema kidogo kidogo na intavyuu kafanya nyingi kwa nini alimwacha Wema.

Wema will always be Wema hata mkijitahidi kumshusha.

Nae sijui kwa nini mambo yake anaweka mtandaoni wapambe nuksi ndio wanaomharibia kila siku.
 
U mpumbavu sana! Yaani unamsapoti malaya ilhali kuna ndugu zako wanalala njaa?
Nafanya declaration of interest Kabisa niliwahi kumsapoti wema sana hadi kutoa hela yangu mfukoni....nilitukanwaaa sana hapa JF kwa ajili yake lakini nilichokuja kugundua Kumbe sikupawa kutumia nguvu zote zile kumsapoti mtu asiyjitambua na jeuri kupindukia. Kwakweli kwa Sasa huwa sisapoti chochote kuhusu wema Wala hujakosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madanga yote iwemo wa bongo muvi wapo after money!

Mjini wanakwambia hapendwi mtu isipokuwa pesa yako mwanaume !

Mtajeni mwanamke wa bongo muvi gani au danga au malaya ambaye yuko vizuri kwenye matumizi ya pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!mamy unanguvu gan kumdhalilisha hv mwanamke mwenzako???unajisikiaje?

Hivi na ww unaamini ni kweli kuhusu hyo smell? Hizo ni tetesi za town tu hazina uthibitisho ndo maana naweka inasemekana.

Haya nimeedit Kwa heshima yako usiniseme sana
 
Hivi na ww unaamini ni kweli kuhusu hyo smell? Hizo ni tetesi za town tu hazina uthibitisho ndo maana naweka inasemekana.

Haya nimeedit Kwa heshima yako usiniseme sana

Kumbe unajua ni ruomors sasa kwann na ww unaendeleza kusambaza uongo!?..ni km ww uanze kumkebehi mwanamke mwenye Fistula!..!
 
Back
Top Bottom