Sema wewe mama.
Kuna vitu vingine akiandika mwanamke hasa mmama vina ukakasi sana basi tu.
Humu duniani kuna magonjwa ya kila aina nilisoma na mdada a level ambae hawezi kukaa ule muda wa darasa saa 1 asubuhi mpaka saa 8 bila kuoga na kubadili nguo.
Aiseee darasa nzima hamkai kwa hiyo harufu yake.
Inabidi saa 4 chap break aende hostel akaoge abadili nguo na alikuwa msafi hatari tola mdogo hayo ndo maisha yake.
Alikuja kupata tiba ukubwani na hiyo kwake ni historia tu.
Sometimes watu wanakuwa na mabeef yao au wivu tu wanaamua kusambaza kashfa ili mtu ajifariji.
Sent using
Jamii Forums mobile app