Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Pole dada.Poleni sana. Diamond has never needed Wema wala mashabiki wa Wema. Zile campaign za team Wema za kuto kumpigia kura Diamond na kumpigia Davido last year viliishia wapi? Diamond will remain Diamond and on top of his game, and Wema's fans will remain delusional souls.
Nimemzungumzia Wema Abraham Sepetu, Miss Tanzania, Mwanasiasa, First Lady wa Bongo Movie na Malkia wa Timu ya Mastaa inayojulikana kama Team Wema... Sijazungumzia mashabiki wala wasemaji waliojiteua wa mitandaoni.
Madame hajawahi kuwa na chuki za kipuuzi, ni mhumble, na amekuwa akiwasaidia hawa vijana professionally bila kinyongo wala visasi.
Unless unamjadili Madame Wema Abraham Sepetu kwa rejea ya vitendo na maneno ya washabiki wake...