Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Pole dada.
Nimemzungumzia Wema Abraham Sepetu, Miss Tanzania, Mwanasiasa, First Lady wa Bongo Movie na Malkia wa Timu ya Mastaa inayojulikana kama Team Wema... Sijazungumzia mashabiki wala wasemaji waliojiteua wa mitandaoni.
Madame hajawahi kuwa na chuki za kipuuzi, ni mhumble, na amekuwa akiwasaidia hawa vijana professionally bila kinyongo wala visasi.
Unless unamjadili Madame Wema Abraham Sepetu kwa rejea ya vitendo na maneno ya washabiki wake...
 
Jitahidi kumpamba na title ambazo hazina uzito kwa sasa. Huyo anaetoa conversation zake za private na Idris ni nani? Dougimasta, mati na akina utajipanga wameyajulia wapi hayo mambo yake ya ndani kama sio yeye ndio anawaeleza? Hao ndio viongozi wa fans/washabiki wake, na ndio hao wanaopost instagram kumtukana Idris, na before that walimtukana Dai na Zari mnoo. Wewe endelea kumsafisha Wema hapa but we all know the kind of person she is.
 
A kind of person you wish she was. Ujinga wa akina Mati sio lazima uwe ni masterplan ya Wema... Madame ni msafi tangu zama hizo, lau angekuwa roho mbaya angewapotezea wabaya wake kwenye system, maana ana gig huko.
Madame ni mhumble, hana matata...
 
A kind of person you wish she was. Ujinga wa akina Mati sio lazima uwe ni masterplan ya Wema... Madame ni msafi tangu zama hizo, lau angekuwa roho mbaya angewapotezea wabaya wake kwenye system, maana ana gig huko.
Madame ni mhumble, hana matata...


Hahahahahaaa eti ni msafi. I rest my case. Bye
 
Anamuiga Justin Baiber haha mwenzake kajitoa Instagram anajiweza hategemei ila idris nimemuona mjinga sana kudelete account yke yenye followers zaid ya 1M wakat sikuhiz zimekuja opportunity nyingi zakuingiz pesa thru mtandao kama ile binary waliyoenda kuzindua juz nae alialikwa yote nikutokana na followers wengi mtandaoni"
Tatzo lakuingiza mapenz na kaz..kupenda malaya nakuhis utambadilisha + utoto mwingi.
 
Kati watu ambao huwa siwaelewi ndo jamaa,halafu hajui kuchekesha anajichekesha!
 
Sidhan ame i delete ame i deactivate tu km bieber alivyofanya akitaka kurudi ana activate
 
Idris tatizo utoto mwingi.
Unajua huyu dogo anakurupuka sana. Anafanya mambo bila kufikiria. sasa Safari hii itakula kwake. Kuna ule mkataba aliingia na ile kampuni ya "internet"(sina uhakika kama ni internet pekee ama ni kampuni ya simu) Kwaajili ya kuitangaza akachukua mkwanja. Sasa hajafikiria kama akifunga account yake anakiuka ule mkataba kwasababu hatokuwa na sehemu nyingine ya kuwatangaza. Hii itakula kwake soon ama afanye haraka kuifungua Account yake as soon as possible. Halafu hafikirii kwamba bila insta account yake anadhani nani angeenda kwenye show zake.? Huu ni utoto kabisa ila akikua Ataacha. Nasikia huwa anasoma soma thread zinazomuhusu humu katika forums basi naamini ujumbe kaupata na ataifungua account yake soon na kuacha utoto
 
hiv kati ya wema nani anamshobokea sana mwenzie
 
Wema ni Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!
hiv kati ya wema na mond kwa sasa iv nani anamshobokea sana mwenzie???
 
Wema akifikisha miaka 35 akili itamkaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…