Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Mnapenda kumpaisha wema jmn. Wema km ana nyota ya u maarufu mnaosema anawapa wa2 kiki yeye mwenyewe angekua bilionea. Drama zake ndo znamfanya awe anaongelewa kila kona na kila cku ataibuka na jipya.
Ni kwel wema kipind flan alkua anawa2ma wa2 wa2kane insta cjajua kipindi hiki haswa mati n ashura (dougiemasta). Nyie mnaosema wema nn n nn mnamjua wema kwa magazeti kuna wema behind magazet n instagram. Mwanaume akiachana naye lzm team wema wam2kane. Mbna kipind kile cha kampen alkataza team yake kusupport Chadema na UKAWA the na they didn't. Y anashindwa kua strict kny ma2c n udhalilishaji wa ex wake. Aya diamond ka2kanwa mpk bas akijib anaonekana mswaz ila mondi anajua kuwanyoosha. The only person anayejua kucheza na drama za wema ni mondi peke yake. No wonder wema analimis hogo.
Leo hii idris mnasema ana mambo ya kitoto ukwel idris ni mtoto miaka 22 cjui 23 ana utu uzma gan wema alkua anambemenda. N yy aliparamia makubwa wakat ndo alkua anamalizia balehe