Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Mnapenda kumpaisha wema jmn. Wema km ana nyota ya u maarufu mnaosema anawapa wa2 kiki yeye mwenyewe angekua bilionea. Drama zake ndo znamfanya awe anaongelewa kila kona na kila cku ataibuka na jipya.
Ni kwel wema kipind flan alkua anawa2ma wa2 wa2kane insta cjajua kipindi hiki haswa mati n ashura (dougiemasta). Nyie mnaosema wema nn n nn mnamjua wema kwa magazeti kuna wema behind magazet n instagram. Mwanaume akiachana naye lzm team wema wam2kane. Mbna kipind kile cha kampen alkataza team yake kusupport Chadema na UKAWA the na they didn't. Y anashindwa kua strict kny ma2c n udhalilishaji wa ex wake. Aya diamond ka2kanwa mpk bas akijib anaonekana mswaz ila mondi anajua kuwanyoosha. The only person anayejua kucheza na drama za wema ni mondi peke yake. No wonder wema analimis hogo.
Leo hii idris mnasema ana mambo ya kitoto ukwel idris ni mtoto miaka 22 cjui 23 ana utu uzma gan wema alkua anambemenda. N yy aliparamia makubwa wakat ndo alkua anamalizia balehe
 
Anakuzuga eti anajiamini, wakati ukiwa mbali wasiwasi unamjaa!

Atafurahi sana akiina hii, itasaidia yeye kupunguza mihangaiko ya kutafuta madem, maana Benny ni so.
Daah siku yangu ishaharibika. Inabidi niongee na Benny vizuri
 

Fanya wewe drama tuone kama utaongelewa. Wangapi wanajichetua akina gigi money lakini umaarufu bado fiinyu....Wachaga wivuuuuu...Aliwatuma je ulikuwepo?...Awe strict hao team yake kawanunulia simu?, kawanunulia bando?, anawalisha?....Kama unasema kwenye kutosupport UKAWA hawakusikiliza kwann unaamini akisema waache kutukana wataacha?....Hahahahaha....hebu mwacheni Wema.

Wema analimiss Hogo kakwambia?...Au ni wishful thinking tu hizo....Utoto huo wa miaka 20+ ni upi?....Eti anabemendwa, naomba ukapitie post ya shilole kuhusu udogo wa Nuh.....watoto wanachezea midoli na magari, vinginevyo ujue wamekomaa.

Halafu usidhani kila mtu hamjui Wema humu. Usikute ht mimi ndo Wema mwenyewe au mamaake. Tusichukuliane poa( in Idris' voice)
 
Kwahyo kunyonyana ndimi na mtu tena ukiwa Single ni aibu?...Basi wengi tunatia aibu tunatakiwa tuvae hata mask kuficha nyuso zetu.
 


Tatizo la dogo ni kwamba hajakua kiakili kwani bado yuko katika status ya "still loading" kichwani. Yeye anadhani kila kitu ni kuandika kwenye mtandao wa jamii. Atakunya atajibandika humo na kusema kuwa kimba lake lina maharage au linanuka, sasa kimba alinuki? Atashikwa tako na mabosi wake kazini atakuja sema leo bosi fulani alinishika mabaya ila kuna raha yake. Yaani dogo sijuwi lini akili zake ataziunganisha kwenye 'fiber optic' cables na 4G network badala ya analog, anakera mno na bora ajipotezee tu yeye mwenyewe.
 
Unachekesha kwel. Ss mm nkamuonee wivu wema sepetu kwa kipi hasa?? Unanijua mm wewe mpk useme ivyo?? Shida yenu team wema hampendagi boss wenu akiambiwa ukweli. Fyi nlikuwepo akiwa2ma kwa txt za watsap n mpk voice note ucchukulie kila m2 anayeongea anakua hana uhakika
 
Kijana huyu, ajipange tena.


Hajakua na wala hajitambui. Mtu mwenye akili timamu hawezi toka na Wema hata siku moja, yule ni wa kuchapa na kuacha solemba. Dogo anatumiwa tu kama Big G na ndiyo maana anaitwa shem huku demu anapakuliwa na wengine. Kubwa zima kichwani hamnazo, we demu anachafuliwa mavuzi na wengine chupi na sidiria uoshe wewe, si ujinga huu?
 
Weka hapa voicenote hiyo na hizo screenshots za text....sio kusemasema tu kama mlevi.....Na wivu unamuonea je...maana hawezi kukushughulisha ukatype weeeee....Kukujua wewe vepee...Acha swaga za zamani za " Unanijua mimi?"... Hivi ulikuja na Super Feo au Behewa za TRL?
 
Hahaaaaa nikujue ili iwe nn. Bas nshaandika ukitaka futa comment yangu. Na hayo magari kama ndio ya kwenu its gud 2 know.
TGIF hav a nyc day mbeba pochi wa wema.[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
You said it all, lakini kijana alipenda kuchungulia vya wakubwa.
 
Hahaaaaa nikujue ili iwe nn. Bas nshaandika ukitaka futa comment yangu. Na hayo magari kama ndio ya kwenu its gud 2 know.
TGIF hav a nyc day mbeba pochi wa wema.[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nilijua tu huna cha text wala voicenote.....Bye felicia!!.....
 


Wanaume wa dar mnayajua maisha ya watu.
 
Wema ni Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!
Unajua maana ta Godmother lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…