mke,kwa haya manenoTeh mkurya anajiamini sana yule hadi naogopa. Kwa viwango vyake vya ufilipino, he is simply "Irreplaceable"
Hahaha nahisi hivyo piaHa ha ha, unajua hata Le Baharia simwelewagi elewagi, zile bebs anazopiga nazo picha ukute anazipa link kwa supa moguls!
mmh acha hizo bana. hutaki nirushwe insta na Le baharia "you know nipo na Le super babes mkareez HS lol"mke,kwa haya maneno
narudi nyumbani mapema
kule ukienda yule Le, Le
atataka selfie na wewe
na mimi sitakubali
mmh acha hizo bana. hutaki nirushwe insta na Le baharia "you know nipo na Le super babes mkareez HS lol"
Hahah Raimundo kwa hii
pata supu na kinywaji
hapo nakuja kulipa!
Hahahah...mmh acha hizo bana. hutaki nirushwe insta na Le baharia "you know nipo na Le super babes mkareez HS lol"
teh bongo tambararezzzHa ha ha! Hapo hajaongezea supa mtindizi yu know, am humbled.
Kama huyo ndio mlezi basi na hao anaowaongoza ni makahaba maana wema anaishi kwa kutegemea mwili na michilizi inataka kuvunja biasharaWi Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!
Nenda kalipe mkuu, pale toroka uje.
Maana baada ya kuandika tu hivi nikajua sikosi ofa, nilipiga zangu bia 3 za mkopo nikijua utalipa tu. Labda nikamalizie kunywa supu tu.
Hahahah...
akukumbatie?!..
nikiangalia?
just Le pichaz you knowHahahah...
akukumbatie?!..
nikiangalia?
Kwa ajili ya furaha yako,haha hana madhara mbona, just Le pichaz
Pata supu, nikienda nimalize vyote..
Kwa hii ulistahili zaidi ya 3
Next time usiniangushe piga vitu haswa Bro!
just Le pichaz you know
hehe ngashtuka machale kundesa, aisee no more offer. usimmalizie hela my mbabes na sifa zako za mwendokasiHalafu kuna picha moja Le Mbebz kapigwa busu na Wema mpaka kasinzia, sasa wewe ukimpiga busu vile Benny anaweza kuzimia, maana Benny ana wivu sana na wewe kwa sababu ya mapenzi yake makubwa kwako.
Kuna ile wanasema eti Mapenzi yapo direct proportion to Wivu, ila naona Benny amezidi aisee.
Kila tukikaa naye muda wote ni HS tu.
Hapa sikosi bia kwa hizi sifa!
hehe ngashtuka machale kundesa, aisee no more offer. usimmalizie hela my mbabes na sifa zako za mwendokasi
Hahahaha...imebidi nicheke sana hahaha...hehe ngashtuka machale kundesa, aisee no more offer. usimmalizie hela my mbabes na sifa zako za mwendokasi
Halafu kuna picha moja Le Mbebz kapigwa busu na Wema mpaka kasinzia, sasa wewe ukimpiga busu vile Benny anaweza kuzimia, maana Benny ana wivu sana na wewe kwa sababu ya mapenzi yake makubwa kwako.
Kuna ile wanasema eti Mapenzi yapo direct proportion to Wivu, ila naona Benny amezidi aisee.
Kila tukikaa naye muda wote ni HS tu.
Hapa sikosi bia kwa hizi sifa!
hahaha bado sijapiga naye bana, angeshanirushaHahahaha...imebidi nicheke sana hahaha...
wewe heaven hii ngashtuka umeijulia wapi isikute ushapiga selfie na Le Baharia siku nyingi mimi nazubaa tu
Raimundo shusha vitu
shusha vitu hata nikikwama
nitauza mbuzi zangu mbili