Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Teh mkurya anajiamini sana yule hadi naogopa. Kwa viwango vyake vya ufilipino, he is simply "Irreplaceable"
mke,kwa haya maneno
narudi nyumbani mapema
kule ukienda yule Le, Le
atataka selfie na wewe
na mimi sitakubali
 
Wi Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!
Kama huyo ndio mlezi basi na hao anaowaongoza ni makahaba maana wema anaishi kwa kutegemea mwili na michilizi inataka kuvunja biashara
 
Nenda kalipe mkuu, pale toroka uje.

Maana baada ya kuandika tu hivi nikajua sikosi ofa, nilipiga zangu bia 3 za mkopo nikijua utalipa tu. Labda nikamalizie kunywa supu tu.

Pata supu, nikienda nimalize vyote..

Kwa hii ulistahili zaidi ya 3
Next time usiniangushe piga vitu haswa Bro!
 
Kwani hakujua kama yule mwanamke ni wamaonyesho! Haina jinsi wema inabodi awekwe makumbusho kwa ajili ya kuvutia utalii wa ndani na aongeze pato la taifa!
 
Pata supu, nikienda nimalize vyote..

Kwa hii ulistahili zaidi ya 3
Next time usiniangushe piga vitu haswa Bro!

Nashukuru, ngoja nikamalizie supu wakati wa mechi ya Liverpool.

Aisee basi kama ni hivyo tegemea sifa moto moto.
 
just Le pichaz you know

Halafu kuna picha moja Le Mbebz kapigwa busu na Wema mpaka kasinzia, sasa wewe ukimpiga busu vile Benny anaweza kuzimia, maana Benny ana wivu sana na wewe kwa sababu ya mapenzi yake makubwa kwako.

Kuna ile wanasema eti Mapenzi yapo direct proportion to Wivu, ila naona Benny amezidi aisee.

Kila tukikaa naye muda wote ni HS tu.

Hapa sikosi bia kwa hizi sifa!
 
hehe ngashtuka machale kundesa, aisee no more offer. usimmalizie hela my mbabes na sifa zako za mwendokasi
 
hehe ngashtuka machale kundesa, aisee no more offer. usimmalizie hela my mbabes na sifa zako za mwendokasi
Hahahaha...imebidi nicheke sana hahaha...

wewe heaven hii ngashtuka umeijulia wapi isikute ushapiga selfie na Le Baharia siku nyingi mimi nazubaa tu

Raimundo shusha vitu
shusha vitu hata nikikwama
nitauza mbuzi zangu mbili
Halafu kuna picha moja Le Mbebz kapigwa busu na Wema mpaka kasinzia, sasa wewe ukimpiga busu vile Benny anaweza kuzimia, maana Benny ana wivu sana na wewe kwa sababu ya mapenzi yake makubwa kwako.

Kuna ile wanasema eti Mapenzi yapo direct proportion to Wivu, ila naona Benny amezidi aisee.

Kila tukikaa naye muda wote ni HS tu.

Hapa sikosi bia kwa hizi sifa!
 
Hahahaha...imebidi nicheke sana hahaha...

wewe heaven hii ngashtuka umeijulia wapi isikute ushapiga selfie na Le Baharia siku nyingi mimi nazubaa tu

Raimundo shusha vitu
shusha vitu hata nikikwama
nitauza mbuzi zangu mbili
hahaha bado sijapiga naye bana, angeshanirusha
 
Back
Top Bottom