ukubwa jembe
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 101
- 25
Hizo pesa ni ndogo kama upo kundi la escrow
Ni nyingi kama mtanzania wa kawaida unayeishi kwa $1
Na kwao z8ngekuwepo asingeenda bba
ila ni mtaji mkubwa kwa mwenye mawazo ya ujasiriamali
Keshasema anawekeza kwa filamu.
Keshasema anawekeza kwa filamu.
Keshasema anawekeza kwa filamu.
Anaejua historia ya huyu kijana naomba anijuze kidogo maana naona watu wanadhani pesa alizoshinda ni nyingi sana ila namuona kama ni mtoto wa kisure inawezekana hizo ziko nyumbani nyingi tu.
Sasa kama kuna yoyote anaejua anijuze.
Mpaka anaondoka kwenda big brother idris alikuwa mfanyakazi wa graphics wa kampuni ya i-view iliyoyengeneza video ya nataka kulewa ya diamond platnumz
mpaka hapo nimeekewa jambo kumbe ni mgangaji mzuri labda anajua upana na urefu wa hiyo biashara
Lakini pia nimejua ni mkazi wa Arusha na nimeekewa maisha yake asilimia kubwa amekuwa Arusha.
Kama kuna la ziada tujuzane maana inaelekea kizungu anacho kiongea ni kama amekaa nje kidogo hebu anaejua anijuze
Anaejua historia ya huyu kijana naomba anijuze kidogo maana naona watu wanadhani pesa alizoshinda ni nyingi sana ila namuona kama ni mtoto wa kisure inawezekana hizo ziko nyumbani nyingi tu.
Sasa kama kuna yoyote anaejua anijuze.
Nitafuatilia hili la Team Lukaza kuchemka manake jamaa ana all necessary resources na alipoingia kwenye movie, nikajipa matumaini kwamba kidonda kimepata mkunaji kwa maana ya mtu mwenye mtaji wa kutosha! Hata hivyo, nilikuwa disappointed na Proin mara walipoanza coz' hawakuleta kitu kipya zaidi ya kuachana na mtindo wa Part I & I... mambo mengine, yakabaki business as usual.Anachemka kuwekeza kwenye filamu Bongo. Kuna watu wanaitwa akina Lukaza ambao walipiga hela ya EPA wakawekeza kwenye filamu kupitia kampuni yao ya Proin Promotions, waulize nini kimewakumba?!
Walianza kwa mbwembwe wakazindua filamu ya Foolish Age pale Mlimani City, kisha wakaja na mchakato wa kusaka vipaji nchi nzima, na baadaye wakamleta star wa movie wa Ghana, Van Vicker. Lakini sasa imebaki story.
Kuna kundi la Wahindi wameikamata hii biashara kwa kuwatia ujinga wasanii na watengeneza filamu, matokeo yake filamu imageuka kuwa biashara ya mtu mmoja tu, mwingine akiibuka atashambuliwa na wasanii wenyewe hadi afulie.
Biashara ya filamu ukiiangalia kwa juu juu unaweza kuiona kama ina mafanikio makubwa, lakini kwa uhalisia wake haina lolote. Mwambieni Idris akitaka asije kuchekwa kama Richard Bezuidenhout kwa kufilisika, basi akae chini na kufikiri upya cha kufanya lakini sio filamu.
Ova
Nitafuatilia hili la Team Lukaza kuchemka manake jamaa ana all necessary resources na alipoingia kwenye movie, nikajipa matumaini kwamba kidonda kimepata mkunaji kwa maana ya mtu mwenye mtaji wa kutosha! Hata hivyo, nilikuwa disappointed na Proin mara walipoanza coz' hawakuleta kitu kipya zaidi ya kuachana na mtindo wa Part I & I... mambo mengine, yakabaki business as usual.
Kuhusu mafanikio, you're right... hususani kwa waigizaji, hakuna cha maana wanachopata with exception of the few wale wenye majina! Other crew members, ndo hamna kitu kabisa... wengi wao ni vile tu heri ya nusu shari kuliko shari kamili! Wanaopata kidogo ni producers na hawa ni kwavile wanawanyonya other crew members hususani actors/actress ambao majority pay per scene yao ukiambiwa unaweza kuzimia!
mpaka hapo nimeekewa jambo kumbe ni mgangaji mzuri labda anajua upana na urefu wa hiyo biashara
Lakini pia nimejua ni mkazi wa Arusha na nimeekewa maisha yake asilimia kubwa amekuwa Arusha.
Kama kuna la ziada tujuzane maana inaelekea kizungu anacho kiongea ni kama amekaa nje kidogo hebu anaejua anijuze
Nadhani unajua vizuri vijana wa arusha walivyo wazamiaji wa kuondoka nje na watalii. Halafu tofauti na watalii wengi wa kike kuondoka na vijana wa arusha pia arusha ina connection na Nairobi ambapo kiingereza in kawaida kwao. Pia fuatilia trend ya wawakilishi wengi wa big brother kutoka Tanzania wanatoka kaskazini arusha na moshi mfano richard, Julio, idris, Eliza Gupta, lotus na wengine.