Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Hili ndo gari analotembelea huyo rummy hawara wa julie dolls, nilimuona nalo leo maeneo ya mwenge
 
Attachments

  • 1411152599343.jpg
    1411152599343.jpg
    53.4 KB · Views: 547
Last edited by a moderator:
out of Topic, Dinazarde huyu ndo bibie julie, mtoto anasumbua sana apa mjini, ndo yule hawara wa rummy, mtoto malaya jezebel kasingiziwa

Huyu ndio kahongwa gari eee halaf Rummy ana ngoma anawasambaziajeee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mjini ukitoa tigo unapewa gari Kama Una kismati. Pale tigo imechakazwaaaaaaaaaaa yani simcard fail

Huyo jullie ye mastaa wa bongo hana mda nao, ana dili na watu wenye pesa chafu, alikuwa rafiki wa lulu, baadae akahamia kwa penny, siku izi naona hawapo karibu kama zaman, nasikia pia kashasagana sana na wolper na lulu, kanajionaga keki wakat hiv+
 
Ana mdomo mzuri teh teh wanamuonea wivu wenye nyota za mende kung'aa chooni

Kwa uzur ni mzuri sema kafupi, halafu make ups zinamsaidia sana, mkute hana kama hujamkimbia
 
Huyo jullie ye mastaa wa bongo hana mda nao, ana dili na watu wenye pesa chafu, alikuwa rafiki wa lulu, baadae akahamia kwa penny, siku izi naona hawapo karibu kama zaman, nasikia pia kashasagana sana na wolper na lulu, kanajionaga keki wakat hiv+

Lulu na penny walionesha kumzoea rummy bidada akaogopa kushea mgodi ndo akapotezea
 
Wee?? Ila jamaa atakuwa kawagonga bhana akina lulu, maana na yeye ni kiwembe balaa hafai, yani wanaambukizana ukimwi tu
 
Huyo jullie ye mastaa wa bongo hana mda nao, ana dili na watu wenye pesa chafu, alikuwa rafiki wa lulu, baadae akahamia kwa penny, siku izi naona hawapo karibu kama zaman, nasikia pia kashasagana sana na wolper na lulu, kanajionaga keki wakat hiv+

Lakini si nasikia Rummy kagonga penny,halaf Penny na Shilole viganja vya mikono kama sio vyao jamani kama wamevaa gloves nyeusi kream mbaya sana
 
Back
Top Bottom