Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Na kismati kinachangia
Na limbwata linasaidiaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kismati kinachangia
Wee?? Ila jamaa atakuwa kawagonga bhana akina lulu, maana na yeye ni kiwembe balaa hafai, yani wanaambukizana ukimwi tu
Lakini si nasikia Rummy kagonga penny,halaf Penny na Shilole viganja vya mikono kama sio vyao jamani kama wamevaa gloves nyeusi kream mbaya sana
Itakuwa kweli manake lulu mambo haya ya uchunaji kaanza kitambo. Uzuri lulu hanaga show off za kipumbavu. Lulu ndio akikohoa tu tigo inafanya pufuuu manake Dogo kitambo Sana tokea akishindani miss perfect.

Huyo ndo rummy Dinazarde, kwa namna hii Mrembo by Nature, apa rummy kashapiga zamani wala halina mjadala
Huyo ndo rummy Dinazarde, kwa namna hii Mrembo by Nature, apa rummy kashapiga zamani wala halina mjadala
Hivi kweli bongo movie uwaonyeshe mumeo au mpenzi labda awe hana pesa ndio watampisha hataree
Nimekumbuka hii pichaa kumbe mjamaa huyu ni nouma halaf pesa za sembe eee,kamaliza bongo movie yotee pesa mwanaharam pesa za sembe hiziiii
Ndo huyo, nasikia hadi zamaradi mketema kachapwa , yani naanza kuamini maneni ya team ukweli maana alisemaga jamaa hana masihara na uchi wa binadamu yeyote hata mbuzi ye twende, uzuri wake ye aangalii sura, ye kama una k twende yani hana kusema sijui yule sio type yangu, ye twende
Hahahaha hebu Fanya experiment tuone Kama hujatoka kamasi LA chuma. Wakimkata wanamuachia akiwa mweuppeeeee Kama dalas na Mme wa aunt ezekiel
Hahaha nasikia aliwatag Malaya wa rummy wote kwenye hii picha haahaha
Nilicheka sana et akikutaka usijione upo juu maana hata mbuzi anatongozaaa
Na huyu ndo haider kavira, alikuwaga bwan wa penny, mama ubaya ndo akaja kumchukua, maana na yeye huyu jamaa ana mpunga wa maana na ni rafiki sana wa rummy, so demu atakayepiga rummy jamaa lazima amtonye mshkaji na yeye anapiga, yani wanawachafua sana mastaa wabongo, na hawapindui kwa kuwa jamaa pesa wanazo, huyy nae kashapiga sana julie, nasikia kamgonga hadi martin kadinda kule boko kwa gheto la mshkaji wa huyu jamaa
Uzuri wa julie si anajijua ye anataka pesa tu
Lakini aliempa gari si ni huyo Julie au kuna mwingine tenaa
Kijana mzuri, hivi binamu wanaume wenye pesa ndio wanaongoza kwa kua na mademu wengi na umalayaa au pesa zinawalevya,hivii hata Mengi yupo hiviii